Mwanamke anao uwezo wa kumfanya mwanaume wake atulie au awe kiruka njia.Maoni yako tafadhali
Yani acha tu! Na maisha yalivyo mchakamchaka,niliacha kusherehekea miaka saba iliyopita.Hivi kuna watu bado wanajali haya mambo!?
Si hata mm nimeshangaaa yani mtaani kimyaa huku changanyikeni kimyaa naona tunaanza kujali wapendwa wet wa karibu kuliko kujionyesha njiani na manguo mekunduYani acha tu! Na maisha yalivyo mchakamchaka,niliacha kusherehekea miaka saba iliyopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anao uwezo wa kumfanya mwanaume wake atulie au awe kiruka njia.
Jifunzen namna ya kuwa na mapenzi bora kwa waume zenu
Nguvu ya mapenzi hakika iko mikononi mwa mwanmke.Na nyie mtatufanyia nini tutulie mana ndoa ni ya wawili hafu usisubirie mtu akupe furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna hela mkuuNaona hata bar za jirani nilizozoea kuona watu wanaanzia kunywa asubui leo hawapo kabisa.
Nadhani wanawake tumeweza kuwabana waume zetu leo watawahi kurudi. Au isije kuwa Valentine yao itakua kesho na michepuko yao?? Hii ni danganya toto labda.
Lakini wanaume nao wana akili wanajua leo wale wadangaji watawadanga mpk wakose hela ya supu asubuhi. Kila la heri wanaume wote mnaojali familia zenu na kuona wao ndo wa kwanza wengine badae.
Kwa wale wanaume wasiotulia kama mitungi ya gas ikiwa on basi kazi kwenu kumbukeni wakati ni ukuta.
Life limechange sana...Naona mmenza kuacha acha kwa sasa mnatulia na familia zenu. Zamani ndo ilikua siku ya kuwaonyesha mabebezi kuwa unazo
Tungejutaaaa tungeangalia tamthilia zote