Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 26,731
- 49,541
Naona hata bar za jirani nilizozoea kuona watu wanaanzia kunywa asubui leo hawapo kabisa.
Nadhani wanawake tumeweza kuwabana waume zetu leo watawahi kurudi. Au isije kuwa Valentine yao itakua kesho na michepuko yao?? Hii ni danganya toto labda.
Lakini wanaume nao wana akili wanajua leo wale wadangaji watawadanga mpk wakose hela ya supu asubuhi. Kila la heri wanaume wote mnaojali familia zenu na kuona wao ndo wa kwanza wengine badae.
Kwa wale wanaume wasiotulia kama mitungi ya gas ikiwa on basi kazi kwenu kumbukeni wakati ni ukuta.