Valentine hii kupo kimyaaaaa

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
26,046
47,581
Naona hata bar za jirani nilizozoea kuona watu wanaanzia kunywa asubui leo hawapo kabisa.

Nadhani wanawake tumeweza kuwabana waume zetu leo watawahi kurudi. Au isije kuwa Valentine yao itakua kesho na michepuko yao?? Hii ni danganya toto labda.

Lakini wanaume nao wana akili wanajua leo wale wadangaji watawadanga mpk wakose hela ya supu asubuhi. Kila la heri wanaume wote mnaojali familia zenu na kuona wao ndo wa kwanza wengine badae.

Kwa wale wanaume wasiotulia kama mitungi ya gas ikiwa on basi kazi kwenu kumbukeni wakati ni ukuta.
 
leo ni siku ya kazi watu hawawezi kunywa tangu asubuhi

Mashabiki wa ndala eti wamegoma kuvaa nguo nyekundu

tukutane kwa mchina
Hiii mada ya wana ndala tuachane nayo kwa sbb hata mm ntashangaa kama.wamevaa nyekundu
 
Mwanamke anao uwezo wa kumfanya mwanaume wake atulie au awe kiruka njia.
Jifunzen namna ya kuwa na mapenzi bora kwa waume zenu

Ujumbe mwanana kutoka kwa husband material
 
Naona hata bar za jirani nilizozoea kuona watu wanaanzia kunywa asubui leo hawapo kabisa.

Nadhani wanawake tumeweza kuwabana waume zetu leo watawahi kurudi. Au isije kuwa Valentine yao itakua kesho na michepuko yao?? Hii ni danganya toto labda.

Lakini wanaume nao wana akili wanajua leo wale wadangaji watawadanga mpk wakose hela ya supu asubuhi. Kila la heri wanaume wote mnaojali familia zenu na kuona wao ndo wa kwanza wengine badae.

Kwa wale wanaume wasiotulia kama mitungi ya gas ikiwa on basi kazi kwenu kumbukeni wakati ni ukuta.
Hatuna hela mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom