Valentine Day: Wasio na wapenzi watafanya nini?

Valentine Day: Wasio na wapenzi watafanya nini?

Binafsi nitakua nacheki movie p1 na kusikiliza miziki ili kujiliwaza nikiwa binafsi 7bu naogopa kudanganya na kuongopewa pia cz bora nijifurahishe nikiwa pekee ktk vile nivipendavyo
 
Binafsi nitakua nacheki movie p1 na kusikiliza miziki ili kujiliwaza nikiwa binafsi 7bu naogopa kudanganya na kuongopewa pia cz bora nijifurahishe nikiwa pekee ktk vile nivipendavyo
Mnaongopeana
 
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbaaali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana. Usingle kazi sana.
Hehe, Yani muongee tu? Level ya uboya huo siku ya Valentine bado sijawahi kuiona kwa mtu[emoji23]
 
Back
Top Bottom