Valentine Day: Wasio na wapenzi watafanya nini?

Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbaaali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana. Usingle kazi sana.
Ukifungua pm yako utampata in a minute
 
Wapo wengi sana tatizo sioni wakumpenda. Napenda kupendana mimi. Ndo maana natulia tu bila mapenzi maana sina naempenda.
Pole sana. Ila we ndo unatakiwa upendwe ndio upende. Ila nashangaa sana hao wa Mara hawajakuona kweli aisee? Basi rudi Tanga utapata wa kukuona
 
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbaaali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana. Usingle kazi sana.
Siku utakayokua serious hutosema tena "Natamani" Bali "Utakua naye tayari".
 
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbaaali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana. Usingle kazi sana.
Na chura lote ulilonalo still huna mpenzi??[emoji32][emoji32][emoji32].....This is not fair at all!
 
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbaaali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana. Usingle kazi sana.
Are u ????🙄😵😵
 
Back
Top Bottom