Kuna zawadi za valentine unazoweza kuwapa wanafuzi walimu au mtu yeyote yule. Zina mafundisho na ni znuri sana
Download hizi video then ziburn kwenye DVD then wape zawadi. uwapendao.
1The Planet- BBC Documentary - The Planets (download torrent) - TPB Its provide very good knowledge about the solar system. Suitable kwa wanafunzi na watu wanapenda kujua na kupata knowledge ya Geography na Astronomy
2. Human Planet Ziko nyingi sana series hizi zinaeleza maisha ya viumbe na watu sehemu mbali mbali za dunia . Suitable kwa watu wa aina zote
Hiyo video ina topic zaidi ya 24 zikiwemo
01.Velocity.and.Acceleration.In.One.Dimension.
02.Equations.of.Motion.In.One.Dimension.
03.Scalars.and.Vectors1
04.Projectile.Motion
05.Newtons.Laws.of.Motion.
06.Newtons.Laws.of.Motion.With.Friction.avi
07.Work.
08.Kinetic.Energy.and.the.Work.Energy.Theorem.
09.Potential.Energy.and.Energy.Conservation.
10.Power.
11.Momentum.
Nimemaliza kudowload hiyoya hesabu Very nice Teacher. Hope ningejua jinsi kuapta video kama hizi enzi hizo. basi japo ningepataga ka C ka hesabu O level.
Yes. Nilikuwa najua sana kutazama na kurudia movie za kina rambo, chuknorris lakini sikujua kunaweza kuwa na movie kama hizi.
Tusaidiane kuwaelemisha wahusika( walimu, wanafunzi, wazazi) na kuwafahamisha wengine juu ya fursa za ICT zinazoweza kufukia mashimo ya mapungufu ya elimu yetu
Kuna maswali ya chemsha bongo hope nimeyakuta huko na mwalimu anayafanya ukiona.
Maths ( permutations) 1. Four people run in a marathon. In how many ways can first and second place finish?
2. How many 4-digit odd numbers greater than 3,000 can be formed using the digits 0-9 if digits may be repeated?