




Hili neno "star" watanzania tujifunze matumiI yake na mahala inapotakiwa litumike tafadharKuna mastaa wengine wakiolewa wanatulia kabisa kama hawaujui ulimwengu.
Na pia kuna wengine wakijikwaa wanapotea kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nàmuulizia yule dada mweupe mwenye macho makubwa aliyecheza movie ya GIRLFRIEND alikua anamuelewa sana GK
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina kama ndio hilo, aisee yule dada alikua ana shawishiNina? Kama ni huyo ameolewa ana watoto sasa hivi.
Kipindi cha nyuma alikua anakaa magomeni kanenepa balaa