Vaginal ordour


Nenda kwenye hoja ya msingi broda, for further information just google
 
Mbali ya hayo yote punguzeni makucha bandia ili muoshe maku vizuri,siku hizi karibia zote zina nuka prawns ambapo zamani hali hii haikuwepo au hao bacteria walikuwa wapi na sasa hivi imekuwaje?unakuta mtu ana nuka ferry soko la samaki na huku juu anatetemesha kwa uzuri!!DUH!na wengi wanaonuka prawns ni wa mjini,wa vijijini masura kama Avatar yangu lakini ukienda uvinza raha husikii chochote!
 
dah ni kweli kunamademu wengi wanatukata stimu unaweza ailisha gafla
 
Mmmh! Ukute alikua anafuga funza! Wadada wengine uchafu umewazidi.
 
Utakimbiaje tatizo dogo kama hilo. Muhimu ungemwambie bae twende tukaoge before ukifika bafuni Anza ww kuonyesha mfano unavyo safisha nyeti zako (lakini usiwe umemwambia kunatema kwake fanya kama usafi wa kawaida)
 
Being GYNEOCOLOGIST I thought you would do something rather than put your tail between your legs and leg it!
Sasa hiyo "do something" ulitakiwa uiseme wewe. Kama ungekutana na icho kituko ungefanyaje.
Kajieleza vizuri kuwa mazingira ya harufu kali ilimfanya aufyate. Je wewe ungeendelea kudinda wakati saikolojia imeshajeruhiwa?
 
Zitaachaje kuwa na harufu Kali wakati ndio kwanza wameziba masikio wakiongoza kwa uvaaaji suruali hilo joto kama mzinga wa nyuki lazima ziteme bhana.
 
Dah,..ungeongozana nae duka la dawa Mkuu. Mbona siku mbili tu anakua poa,,unaweza nywea hata chai.
 
Uyo demu ni malaya tu au ni demu wako wa siku zote? Kama ni malaya tu basi kuwa muangalifu maisha hayana spea...abstain or use condom
 
Sasa hiyo "do something" ulitakiwa uiseme wewe. Kama ungekutana na icho kituko ungefanyaje.
Kajieleza vizuri kuwa mazingira ya harufu kali ilimfanya aufyate. Je wewe ungeendelea kudinda wakati saikolojia imeshajeruhiwa?
Soma ID yake utanielewa kwanini nimesema hivyo.
 
Jomba ww ndio tatizo,inakuwaje demu unataka uumle bila ya kumwambia akaoge?jambo la kwanza ukiingia n demu gest au ghetto umwambie akaoge kwakua unaelewa joto la bongo la mwendo WA daladala
 
Aisee...hukula kabisa issue?ndo huji ipata tena.ilipaswa kiugumu umkamue.unaweza jikuta hupati tena chance kma hiyo kwake.unabana pumzi unapump mara kadhaa unaachia haraka wazungu watoke.then unamwambia haraka akaoge. Then mwambie nahis una tatizo baby kesho twende ukacheck hosp
 
Mambo mengine ni ya kumweleza taratibu na kumsaidia kulitatua tatizo bila kelele maana hazina faida kwako wala kwake!
 
Hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…