Vacancy:- Logistic Cordinator

Vacancy:- Logistic Cordinator

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
Wana JF ninayo furaha kubwa kuwajulisha kuwa kampuni ya Weatherford inayohusika na ukodishaji wa vifaa vya uchimbaji na uazimishaji wa vifaa vya kuchimbia na kutafiti gesi na mafuta inatafuta mtu wa Logistics mwenye uzoefu wa kutosha, ambaye anaweza kufanya kazi chini ya presha kali.
Ukitaka mchongo waweza kuni PM au nipigie 0717 45 44 55
 
Back
Top Bottom