Haha, huyu Mentor huyu, inabidi professional kabsa kujibu hili ombi. Cos ukikosea kidogo nje. Halafu sijui alisahau kuweka watu wapeleke na Cover letter pia. π
Hivi ile elimu ya msingi inaendana na hiki kiinglishi kweli!! Maana mie nazikumbuka picha za familia ya mr and mrs Daudi tu, ila lugha iliniwereva kwakweli.