Vacancies at PPF Pensions Fund.

Vacancies at PPF Pensions Fund.

Hapo tunaattach barua na vyeti tu, maelezo uliyoyajaza ndiyo cv yenyewe.

Badilisha browser unayotumia.

Castr...kila nikijaribu ku-upload application letter and certificates, inagoma inaleta maneno haya: Job Detail:: Upload Error: Only PDF file is allowed for uploading.

Natumia Google Chrome na pia Internet Explorer zote zinagoma ku-upload. File ni 3MB only
 
Yap kwenye kuattach vyeti na barua hiyo stage ya mwisho ndio inagomea apo
 
Mimi nimetumia Uc Browser imegoma kuattach hyo stage ya mwisho Jana nikaenda internet cafe kwenye computer nako imegoma vilevile inaleta jibu lilelile
 
Mimi nimetumia Uc Browser imegoma kuattach hyo stage ya mwisho Jana nikaenda internet cafe kwenye computer nako imegoma vilevile inaleta jibu lilelile
Jamani mbona ni rahisi kama kumeza mate,Kama mmeshindwa sio mbaya,tusije tukaitwa watu 3000 nafasi zenyewe 2,subirini next time
 
Castr...kila nikijaribu ku-upload application letter and certificates, inagoma inaleta maneno haya: Job Detail:: Upload Error: Only PDF file is allowed for uploading.

Natumia Google Chrome na pia Internet Explorer zote zinagoma ku-upload. File ni 3MB only
Ukiona hivyo docs zako siyo pdf.

Naassume portal yao iko sawa hivyo docs zako siyo pdf.

Zifungue kwenye word kisha bonyeza file, halafu save and send itakupa option ya kuzifanya docs zako kua xls au pdf, chagua pdf kisha publish.
 
Na kama utakuwa na smart download app inaitwa pdf converter then chukua docs zako ziamishie kwenye simu ziconvert to pdf kisha zirudishe kwenye computer tuma.
 
Jana mi nilifanikiwa kutuma ikakubali Lakn wakati huo huo kuna best yang akawa naye ametamani atume basi akajsajili kwa gmail lakin hakutumiwa link akabadilisha tena email Lakn wapi .labda wavamizi wameshazidukua hzi system zetu maana tangu juzi kuna watu wanasema kuna malware wametumwa kuharibu system.
gmail.com sio friendly user email tumia email nyingine
 
Hiyo portal yao inazingua ukifika stage ya mwisho ya kuattach CV inakataa inaandika kuwa Hyo CV PDF file ni kubwa imezidi 5Mb wakati CV yangu ni ndogo kwa ukubwa haifiki hata 1 Mb .Tangu juzi nahangaika nayo kuiattach ila inagoma na Leo ndio deadline duuuh
Kwanin unaattach CV? kuna sehemu yeyote wamesema uattach cv?someni maelekezo vizur brothers and sisters.
 
Sina hamu na hao ppf inshort subirin kuitwa watu si chin ya 5000 ila mtafanya interview ya awamu...ilikuwa ni mwaka juzi waliita interview bas mm ya kwangu ilikuwa saa 2 asubuh pale chuo cha elimu ya watu wazima...walikuja watu kama 1000 nikajua ndo sisi bas ile tunatoka saa 4 kumbe kuna wengine walikuja na pia saa 6 kulikuwa na wengine...
Sasa hayo maswali yenyewe tulibak tunaangaliana maswal meng ni tofaut na kaz unayoomba nahs lengo ni kupunguza idadi but nahs kuna walengwa washaandaliwa tho am not sure...mtakaoitwa mtegemee hayo..goodluck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom