Vaa miwani twende Sange, jua kali utaumiza macho!

Vaa miwani twende Sange, jua kali utaumiza macho!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Habari zenu!
...1
Sange kijiji kitamu, Wajanja walitambua!
Kijiji hicho adhimu, Kwa wenye mali na uelewa!
Kina matunda matamu, Usingoje hadithiwa!
Utamu wake adhimu, Wajinga wakavamia!
.
Sange ni wapi?
...2
Sange imejigawanya, Kwa vikata mbali mbali!
Ila raia wajikusanya, Sana kwenye kata mbili!
Kata ya kwanza Muhanya, Wacheza na pilipili!
Kata ya pili Mwanyanya, Kuna adili na jangili!
.
Ni wapi Muhanya?
...3
Sange inauvamizi, Wa raia tofauti!
Wenyeji wanaajizi, Hueka na mikakati!
Kuzuia majambazi, Pamoja na kushtaki!
Serikali haijiumizi, Ndo anza yakula nyati!
.
Ndio nini hiki?
...4
Mwanyanya inamsitu, Mkubwa uso kifani!
Ina na wanyama mwitu, Wala nyama na majani!
Hawapati nyama kuntu, Mwindaji hawi nyani!
Tembo lake kubwa kutu, Si mbio za marasoni!
.
Hahahahahahaaaa!
...5
Kuna simba wenda pole, Na hujitega savana!
Ni wajuzi wa misele, Na mawindo yenye mana!
Nyani zao makelele, Hapo tumemalizana!
Ngoja nisonge mbele, Wasije wakaniona!
.
Mamaaaaaa!
...6
wanamama wa Mwanyanya, Nusu nawaaminia!
Pendi kujikanganya, Miguu husimamia!
Ila wengine kama panya, Mikono watembelea!
Tena wamejigawanya, Wa dira na mapazia!
.
Sange kuna mambo!!!
...7
Sange kama kijiji, Na majalala yamo ndani!
Kuna Inzi wa Ufiji, Pasafi hawapaoni!
Hao nawapa mataji, Kutulia uchafuni!
Ngoja niweke friji, Au hawali barafuni?
.
Aisee! Inzi bhana!
...8
Sange kuna kamchezo, Nakaita Kibafuti!
Ukiwa na mtelezo, Hapo waekewa goti!
Utazichanga ketezo, Tahamaki mahtuti!
Sange kweli si mchezo, Sihami ata kwa buti!
.
Mwee!
...9
Utani weka pembeni, Sange nimeikubali!
Jiwe moja manatini, Lapiga ndege wawili!
Sange jua kali jamani, Miwani elfu mbili!
Mwanyanya Sange mjini, Mashaxizo nimekubali!
.
Nani anabisha?
...
Wadau hizo ni tisa bado tatu hapo ili itimie 12! Au hamjawai kufika Sange? Or sema wapi nimekukuna?
 
Endelea bwana mbona umeachia hapa punguza uchoyo... Nimeipendaje mambo ya fasihi tena ndo nyumbani huko.
 
Last edited by a moderator:

bangi si nzuri kwa afya yako.
 
Mimi niletee riwaya banah! Nilisoma kitabu cha "Watoto wa mama ntilie" na kesho yake nikapata swali lake kwenye pepa 17/20 ila sijui mashairi ya "malenga wapya" nilisoma mwaka mzima lakini tupa kule!!!
 
Back
Top Bottom