Haya makitu asikose kuyaona Dark City, DEMBA, King'asti, Ennie, Excel, Tized, miss chagga, tinna cute, Mr Rocky, BAK, gfsonwin, Fixed Point, Kongosho, Mamdenyi, Munkari, Mentor, Asprin, mwekundu, farkhina, Heaven on Earth, watu8 na Eiyer!
...
Update:
Wakuu muwasaidie wenzenu kutafsiri japo beti mbili!
watu8 Urudi utafsiri japo beti mbili hapo! Kuna siku nilikuona sange!
jamani nimeimiss jf kwa muda.. Mashaxizo whats going on now?
Ni kweli mkuu umepotea masaa mingi tu! Hope uko poa!
...
Excel soma mada afu uniambie umeelewa nini!
Jikite nö 4 na 5 hapo afu uwasaidie wadau tafsiri! Aisee humu si ndio kwa Great Thinkers?
Afu kama itawezekana niitie ablessed, kaunga na yule jamaa mkali wa fasihi, avatar yake kuna dogo anaunga usoni kuna kuna ndoo pale!
ahsante kwa heshima hii mkuu..
naomba kwanza niweke sawa nyumba yangu... mchumba wangu niliyemwacha akiwa na furaha tele, nimekuta katibuliwa.
please ntakuja kukuunga mkono... lakini naomba kwanza nitetee haki yangu ya ndoa..
Mkuu Mashaxizo Sange uko inaelekea ni noma. Sema tu nikishakula huwa nakuwa Kikaramagi karamagi (this time of the day)..sijalielewa vizuri wala nini... Haina noma ntaliamkia usiku.. Hahahaaaa
^^
Malenga Mashaxizo
Fasihi dahari ya funzo
Twaomba mwongozo
Hadhira inufaike
..
Si Himidini au Chujio
Fani yenye mpangilio
Dhamira imekua kilio
Tamati tufafanulie
^^
Hahahahaaa!
Sasa nyumbani kwenu sange au kwa fasihi?