mzee wa kigonzile
Member
- Jul 3, 2015
- 88
- 128
Balaa. Visual proof nimetoa, from high resonance electron microscope. Tatizo husomi michango yangu, au labda huielewi (uwezo mdogo), umekurupuka. Halafu, argument na wewe hainijengi, wewe upo at the very far end of the spectrum. Nimekupa kazi ndogo tu, kuelewa dhana ya chanjo kabla hajaja kubishana na mimi. Au post hukuisoma? Hebu soma tena uielewe uone kama utarudi hata na swali moja.
Ndo maana nasoma humu ndani tumezidiana uwezo, huwezi ku-argue na mimi wakati hata basics tu za medicine huna,, labda tu unajaribu ku-prove kwamba uko mentally retarded. Sirudii kujibu Yale ambayo nimeshayatolea maelezo kwa kina
Yes! sio lazima hujibu hoja zangu. Jibu hoja ambazo Kaveli ameweka mezani.
Stop cheap argument, hivi unajua arvs zimekuwa introduced lini? Maana unasema people are suffer because of arvs, hivi unajua nowadays people are dying with hiv and not from hiv
Thats why nilikwambia wewe huijui background ya AIDS zaidi ya ulichokisoma darasani. Wewe si msomaji na mfatiliaji wa mambo kwenye huu ulimwengu. Na hakuna unachokijua zaidi ya kuwapima watu maabara kwa kutumia vipimo ambavyo vimetengenezwa kwa kufuata misingi ya fiction hypothesis ya HIV/AIDS.
Sio tu hajui background ya AIDS,bali pia hajui hata background/historia ya hiyo medicine yenyewe aliyoisomea.Angelijua vizuri historia ya western medicine angalau angekuwa na uwezo kidogo wa kuelewa haya tunayosema.
Mimi namshauri atafute na asome Flexner report kwenye google iliyoandikwa na Abraham Flexner ambaye aliajiriwa kwa kazi maalum na kina Rockefeller,Carnegie,Ford na J.P.Morgan miaka ya 1910.Medicine iliingiliwa na hawa jamaa na kugeuzwa kuwa ya kifamasia zaidi na kibiashara zaidi badala ya kusaidia kutatua matatizo.
Ndio maana sasa hivi magonjwa mengi sugu hayawezi kutibiwa mahospitalini zaidi ya kujikita kuondoa dalili tu ili waendelee kuuza dawa zao.
Ndio maana sasa hivi kuna magonjwa mengi mapya ya kuzushwa ili kufanikisha uuzwaji wa dawa kutoka kwenye viwanda vyao.
Ndio maana sasa hivi wana 'deprive' mimea virutubisho kutoka ardhini kwa kemikali kutoka kwenye viwanda vyao ili wauze hizo kemikali na kudhoofisha afya za watu ili wakiugua cancer,kisukari nk waweze tena kuwauzia dawa zao.Kemikali hizo pia huua ardhi na kuifanya isiweze kutumika bila kutegemea mbolea na kemikali kutoka kwenye viwanda vyao.
Ndio maana sasa hivi kuna mbegu zao za kijenetiki ambazo huwezi kuzipanda zikaota bila kemikali kutoka kwenye viwanda vyao.Mbegu hizi pia wamezitengeneza ili zisiweze kuota mara pili ili kuhakikisha watu wanarudi tena kwao kununua mbegu.
Ndio maana sasa hivi wana push madawa ya kulevya,madawa ya uzazi wa mpango,madawa mengine ya ngono ili kudhoofisha afya za watu kwa lengo la kujipatia wateja wa baadaye wa dawa zao.
Ndio maana sasa hivi wanalazimisha nchi nyingi duniani ziukubali ushoga ili waweze kuuza madawa yanayotumika na mashoga ambayo pia huweza ku trick vipimo vyao vya HIV kutoa majibu ya HIV+ ili wajipatie pia wateja wengi wa ARVs.
Mkuu hawa madaktari wanachukulia mambo kirahisi sana,basics hizi ni muhimu sana kwao kuzijua ili kubaini ukweli ulivyo.
mkuu Deception,
Umeongea mambo ya ukweli kabisa kaka. Huo ndo uhalisia wa mambo kwa sasa. Na anaepinga hayo uliyoongea, basi akapimwe akili.
Always the truth prevails. Doctor mkuyati og, kwenye hayo maelezo ya Deception (kwenye red), is there any point that you do completely recognize and agree with ?
Kwasababu ya kukaa hapa kupinga ndio maana umeshindwa kuona link iliyoko kwenye hayo aliyosema Deception na HIV/AIDS...Hapa unaongelewa ukimwi na sio vitu vingine. Hayo mengine yote tunayajua . Hakuna kipya. Lete issue mpya kuhusu ukimwi. Ukitaka dokta akupe shule omba na sio kuja kwa gia ya maswali
Naona jamaa anapotosha kweli, wakati Tanzania ya sasa hivi kama wewe au ndugu yako hajapata maambukizi then consider yourself very luck, ni janga, tunaliona, tunaona ndugu zetu majirani marafiki wanasuffer halafu mtu anakuja na conspiracy theory kwamba haupo?
Hapa unaongelewa ukimwi na sio vitu vingine. Hayo mengine yote tunayajua . Hakuna kipya. Lete issue mpya kuhusu ukimwi. Ukitaka dokta akupe shule omba na sio kuja kwa gia ya maswali
Hapo mkuu inabidi udeal na culprit wa kushuka au kudhoofu kwa Kinga kama ni mlevi aache pombe, kama ana ugonjwa wowote unaosababisha kudhoofu kwa Kinga unautibu huo ugonjwa, package mojawapo ya matibabu ni counseling juu ya how to deal with risk factors, ndio maana huwa kuna watu wanashauriwa kuhusu kuacha sigara, kuacha baadhi ya vyakula kwenye matibabu mbali mbali
Ili nielewe base ya hii comment yako, labda nikuulize swali dogo tu... Kwa uelewa wako: UKIMWI ni nini ? na je sababu za UKIMWI ni zipi ?
Afu mkuu Kaveli naona uko biased, toka nimeanza kuchangia thread hii nimetoa hoja na maswali mengi tu, tena wakati najibu hoja za wengine. Chakushangaza hazijibiwi, and you are OK with it. Ingekuwa mimi sijibu ungeshanibananisha,, haha!!
Mkuu mkuyati og,
(b) Kuna hizi Self-Testing Kits (vipimo vya kujipima mwenyewe) ambazo ndo zimeenea sana siku hizi. Uhalisia ni kwamba hizi self-Testing kits ndo zinatumika sana, hasa kwenye hivi vidispensary vya huku mitaani. Uhalisia ni kwamba watu wengi sana wanaaccess hizi private dispensaries, hasa kwenye maeneo ya watu wa kipato cha chini. NOTE: huu ndo uhalisia huku 'site' !
JE, hizo Self-Testing Kits, zina-fall kwenye stage ipi ya Vipimo, yani ni stage ya kwanza ambayo ni doubtful ? ama ni stage ya pili ambayo ndo confirmatory?
mkuu nikujibu kwa kifupi tu,,
kuhusu self testing kits, sina uhakika na aina ya test na principle zinazotumia. naomba niangalie
Mr kaveli mada imeshaisha . Unataka kuanza upya.
goodmorning!! now lets get down to bussiness.. hoja zitajibiwa kwa mtiririko uleule kama zilivyoulizwa.
1. ni kweli kuna some situation kama mimba na TB na zingine nyingi ambazo zinaweza kutoa a false "positive" test. with regards to HIV, a false positive rapid antibody test ni pale ambapo test incorrectly identifies antibodies as antibodies against HIV.
13. Sio wote wenye TB wana HIV, lakini wengi wenye HIV AIDS wanapata TB.
kuhusu nini kimesababisha kushuka kinga kama hawako HIV positive na wana TB, sababu mojawapo ni malnutrition.
Mimi nadhani hao wanaojiita ma Dr kama kweli ni ma Dr baadhi wanajidhalilisha wenyewe,huu uzi sijaufuatilia sana toka mwanzon...ila nilicho gundua mwisho wa siku ni upotoshaji mtupu....na udhalilishaji wa proffesnal za watu..hasa ma DR...ni vizuri kama mtu atatoa mchango wake kwakile akijuacho na siyo ku kashifu taaluma za watu....kwaajili ya ushabiki maandazi...!!
Mjuni Lwambo hiyo ni shule kubwa huwezi kuipata kwenye vipeperushi, ukitaka ueleweshwe ask nicelyMimi nadhani hao wanaojiita ma Dr kama kweli ni ma Dr baadhi wanajidhalilisha wenyewe,
Kwa mfano kuna mmoja anataja aina za UKIMWI, anasema kuna Ukimwi kama ukimwi na upungufu wa kinga mwilini, mtu kama huyu kama ni kweli anahusika na mambo ya tiba au uuguzi au mambo yeyote yanayohusiana na afya, ni jambo la aibu.
Mr kupe, nani kasema mada imeisha? au umeimaliza wewe? The thread is still open for anyone kuendelea kuchangia.
Sasa naanzisha hoja zingine with YOU only, ili nione kama kweli akili zako ni za kupe ama ni za binadamu. It seems unajua mengi ya kutuelimisha kuhusu HIV/AIDS.
Embu soma maelezo yafuatayo (kwenye RED) by Doctor Mkuyati :
Mr. kupe, sasa waambie wasomaji waelewe. Kwa uelewa wako wewe binafsi kuhusu HIV/AIDS, hayo maelezo ya doctor Mkuyati anasema UKWELI au anasema UONGO?
Kama unaona ni uongo na hakuna vvu nenda pale ambiance au kangaroo pub sinza kapige kavu kama machagudoa 3 au 4 halafu tuletee matokeo. au nenda mwananyala hospital wodi ya ukimwi ukawaokoe na tiba yenu mbadala