[/COLOR]
Umeuliza maswali ya msingi sana Mkuu. Kitu cha kushangaza scientist anakimbia uwanja wake wa science ambapo ndiipo anatakiwa kupiganisha facts, anakimbilia kwenye politica power. Denialists wako banned kwa sababu ya politica power, tangu mtu wa kwanza ku question hii hypothesis, huu ni mwaka wa 28 hakuna permanent solution juu ugonjwa wa UKMWI.
Na wakati walipoanza ku question hii hypothesis walikuwa wananyimwa hata air time kwenye vituo vya TV na Radio kuzungumza. Kadiiri siku zilivyokuwa zikisogea Great Scientist walikuwa waki join kwenye movement baada ya kufanya research zao na kujua kuna tatizo. Majarida ya sayansi yaliogopa hata kuchapisha facts zao. Watu walipewa order kutotoa ushirikiano na Denialists ili tu kulinda maslahi ya watu wachache kwenye huu ulimwengu.
Sasa kama tunataka kutatua tatizo why tunaogopa mawazo mbadala hali ya kuwa hypothesis iliyo kwenye mainstream imeshindwa kutoa solution ya kudumu kwa miaka 31?
Maendeleo ya elimu yaliyotokea yalitokea kwasababu ya nadharia zilizotangulia kupinduliwa na nadharia mpya. Sasa why watu wanaogopa?
salaam mkuu,
kwanza naomba niseme kwamba science is an open book, kila mtu ana uhuru wa kutoa hoja zake ila tu ziendane na misingi ya sayansi. pili, hakuna mwenye hati miliki ya matokeo ya kisayansi. wapo watu wamefanya gunduzi nyingi tu, ila walikuja mbele yao wameendeleza gunduzi hizi na kuzi perfect. kwenye science everything is a function of time. kwa maana hyo basi, both R.gallo and L.montagnier did their part katika ugunduzi, na walifika uwezo wao ulipofikia. sio wao tu walioweza kufanya research juu ya hiv, wengine walikuja na kufanya tafiti nzuri kuliko wao.
hapa naona umekazana sana na P. deusberg, tell you what, kufanya research 30 years juu ya retroviruses na pia kugundua oncogenes ni impressive. remember, he is not the only one to work with retroviruses na kugundua vitu. nilisema kwamba medical science is not stagnant however slow it may seem katika ugunduzi wa baadhi ya vitu vipya. unahisi kama asingegundua oncogenes mpaka sasa tungekuwa hatujui oncogenes ni nini hasa? kama you think only his ideas matter, mbona hujiulizi kwanini yeye hakuweza kuelezea nini kinasababisha hiyo "AQUIRED IMMUNODEFICIENCY SYNDROME -AIDS"?
labda tu nikuulize na wewe, do you believe in Kocchs postulates kuhusu origin of disease causing microbes? (zimeelezewa mwanzoni kabisa mwa article ile niliyoweka). tell you what, P. Deusberg does believe in those postulates, na HIV fits perfectly in all of the postulates and criteria.
this is science, so how do you explain the overwhelming evidence kuhusu HIV-AIDS? umezisoma?? please tell me about that.
kama u dont agree with the evidenve, basi kataa pia kwamba mdudu P. Falciparum hasababishi Malaria, maana mdudu huyu anafit ktk kocchs postulates the same way HIV does. again, medicine has principles governed and determined by keen medical research findings. au research ambazo ni credible kwako ni zile za denialists only? kama ni hivyo, basis your judgement is highly biased and polarised.
unasema kwamba kansa ilikuja kugundulika kwamba sio ugonjwa wa kuambukiza wala hausababishwi na virusi. narudia tena, medicine as a science is not stagnant,, do you know kwamba kuna baadhi ya kansa husababishwa na virusi? wajua kwamba HPV husababisha kansa ya shingo ya kizazi? Unajua kwamba EBV husababisha kaposis sarcoma? unakubaliana na findings hizi? na je, unajua kwamba kuna squamous cell carcinoma caused by HIV virus? na unajua kwmba wengi wa virusi niliowataja hapo wanauwezo wa kuwa transmitted kutoka mtu mmoja kwenda mwingine, mfano HPV kwa njia ya kujamiiana?
ugumu hapa ni kwamba tunajadili mambo tofauti. wewe hoja zako zime base sana katika siasa, mimi natoa scientific facts . katika ku-prove hili, naomba nitoe mfano mdogo tu : umedai kwamba kama HIV inasababisha ukimwi, kwanini wanasayansi wameshindwa kupitia kinga ama "antibiotic" kutibu AIDS? labda tu nikuulize, kwanza :naomba nitajie ugonjwa moja tu unaosababishwa na virus wenye TIBA kisayansi(hapa namaanisha maana sahihi ya tiba, kama vile mtu anavyotibiwa malaria) pili: nani kakwambia kwamba "antibiotics" zinatibu virus? Hivi unaelewa hata maana ya antibiotics na nature ya magonjwa ambayo antibiotics hutibu? Mbona unachanganya madesa? .nasema tena, uelewa wetu ni tofauti,, I will always be your doctor, unless uende kusomea taaluma yangu then you will know and understand what I know in detail. ndio maana nikisema hapa kwamba issue ya HIV ni pana kuliko tunavyofikiria hapa, wengine wanakimbilia kutoa majibu mepesi.
ni hayo tu mkuu
Mkuu, heshima kwako.
Naomba kutofautiana na wewe kwa mara nyingine. Linapokuja swala la taaluma, sanasana taaluma za science kama medicine, kama hujui kitu afadhali ukae kimya.
Kwanza, unadai kwamba tafiti na article ya link niliyoweka imetokana na wamarekani ambao kwa Mtazamo wako, wako biased. Wewe reference yako ni kutoka watu wa wapi ambao hawako biased? Tuwekane sawa hapo kwanza. Ama ulitaka nikuwekee link ya watu wa Urusi? Unahisi ingekuwa tofauti?
Kwa mtindo huu hatuwezi kufika mwisho,na ndio maana napenda kutumia msemo unaosema 'Experience is the best teacher' wa mdau mmoja.Huwa nasisitiza sana watu waingie mtaani na kwenye vituo vya afya wajionee wenyewe,wafanye uchunguzi wao wenyewe ili waweze kuthibitisha kati ya maelezo yetu sisi tunaopinga na ninyi mnaokubaliana na HIV/AIDS hypothesis ni kundi gani wanaeleza ukweli.
Vinginevyo hapa tutakesha bila kufikia mwafaka,njia sahihi na yenye kutoa majibu sahihi bila chenga ni kuingia mtaani kufanya 'internship',zaidi ya hapo watu watajaza server tu humu,vimeshaongelewa vingi,mwenye kusoma ameshasoma,sasa twende mtaani na kwenye vituo vya afya.
Wewe na mimi tumeshaongea vizuri kwamba mimi nataka ku prove kitu mbele ya macho yako,nipe nafasi hiyo.Nimeku PM,hujanijibu bado.
Nina nia ya dhati,na ninataka watu wajue kwamba mimi sibabaishi na sibahatishi.Kuona ni kuamini,maneno matupu hayakidhi haja,twende mtaani na kwenye vituo vya afya tukafanye 'internship'.Hakuna suluhisho sahihi kama hili.TWENDE MTAANI NA KWENYE VITUO VYA AFYA TUKAONE KINACHOTOKEA,NA KAMA UKIPENDA HUKOHUKO NITAJIDUNGA HUYO HIV MNAYEMWOGOPA MBELE YA MACHO YAKO ILI WEWE UWE SHUHUDA.
Baada ya theory,practical hufuatia,sasa mbona tumeganda kwenye theory pekee?
Kwa mtindo huu hatuwezi kufika mwisho,na ndio maana napenda kutumia msemo unaosema 'Experience is the best teacher' wa mdau mmoja.Huwa nasisitiza sana watu waingie mtaani na kwenye vituo vya afya wajionee wenyewe,wafanye uchunguzi wao wenyewe ili waweze kuthibitisha kati ya maelezo yetu sisi tunaopinga na ninyi mnaokubaliana na HIV/AIDS hypothesis ni kundi gani wanaeleza ukweli.
Vinginevyo hapa tutakesha bila kufikia mwafaka,njia sahihi na yenye kutoa majibu sahihi bila chenga ni kuingia mtaani kufanya 'internship',zaidi ya hapo watu watajaza server tu humu,vimeshaongelewa vingi,mwenye kusoma ameshasoma,sasa twende mtaani na kwenye vituo vya afya.
Wewe na mimi tumeshaongea vizuri kwamba mimi nataka ku prove kitu mbele ya macho yako,nipe nafasi hiyo.Nimeku PM,hujanijibu bado.
Nina nia ya dhati,na ninataka watu wajue kwamba mimi sibabaishi na sibahatishi.Kuona ni kuamini,maneno matupu hayakidhi haja,twende mtaani na kwenye vituo vya afya tukafanye 'internship'.Hakuna suluhisho sahihi kama hili.TWENDE MTAANI NA KWENYE VITUO VYA AFYA TUKAONE KINACHOTOKEA,NA KAMA UKIPENDA HUKOHUKO NITAJIDUNGA HUYO HIV MNAYEMWOGOPA MBELE YA MACHO YAKO ILI WEWE UWE SHUHUDA.
Baada ya theory,practical hufuatia,sasa mbona tumeganda kwenye theory pekee?
UKIMWI upo. Sintofahamu ni juu ya msababishi wa UKIMWI. Inasemekana 'HIV' akaangushiwa jumba bovu na wakubwa wa dunia kwa manufaa yao.Unayo yaongea niliwahi msikia Thabo Mbeki akizungumza
sikuelewa....ina maana wanao lazwa muhimbili hawana UKIMWI?
au UKIMWI ni nini?
Mkuu kabla sijakujibu, naomba niseme kitu kimoja, unasema nimekazana na Duesberg, huyu ndiyo denialist wa kwanza ku question hypothesis ya HIV/AIDS mwaka 1987. Kwahiyo Huwezi kuzungumzia HIV/AIDS opponents bila kumtaja Duesberg.
Mkuu hapa unanipa mashaka kidogo kama wewe ni msomaji wa vitabu na mfatiliaji wa mambo, na huu ndiyo ugonjwa wetu waafrika. Na pili unanipa mashaka kama unafahamu historia ya UKIMWI ulianzaje huko Amerika.
Tatu unaonesha wazi , uko upande wa HIV/AIDS defendants kwasababu wewe ni medical expert tu na huwa unapima watu huko kwenye maabara. Ila haupo upande wa HIV/AIDS defendants kwasababu labda uli think independently na kuchambua facts kati ya hizi group mbili zinazokinzana, yaani Defendands na Opponents wa HIV/AIDS hypothesis then ukaamua kuwa upande gani.
Kwanza Duesberg ameshaandika vitabu vingi tu kikiwemo cha INVENTING AIDS VIRUS hiki kitabu kimeandikwa Technically . Nakushauri kakitafute ukisome, na pia vitabu vyake hivi vingine ;
'AIDS; Virus or drug induced?' 'Infectious AIDS: Have we been misled?'
Duesberg baada ya kuquestion hypothesis ya HIV/AIDS na kufanya research yeye na denialists wenzake walisema AIDS inasababishwa na Non-Infectious Factors na walikuja na DRUGS INDUCED/AIDS hypothesis. Baada ya wao kufanya research zao, waligundua kuwa AIDS hai behave kama viral epidemiology disease, na sio ugonjwa ambao ulikuwa unampata kila mtu huko amerika, waathirika wengi walikuwa ni wanaume kuliko wanawake na hususani watu kutoka kwenye makundi hatarishi kama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na watumiaji wa dawa za kulevya.
Kuhusu KOCH POSTULATEMimi naamini KOCH POSTULATES. Ndiyo maana nakwambia wewe sio msomaji na mfatiliaji wa mambo. UKIMWI umeweza kumeet postulate moja tu katika KOCH POSTULATES . Hebu tuchambue KOCH POSTULATES kwa faida ya watu hapa tuone;
Hapa kwenye postulate no1 HIV imefeli :
- The microorganism or other pathogen must be present in all cases of the disease./ kiumbe/kirusi Lazima kipatikane katika matukio yote ya ugonjwa huo.
Asilimia 10-20 ya wagonjwa wa UKIMWI hawana HIV kabisa. Na pia Ni kiasi kidogo tu cha HIV, kwa kawaida virusi mfu (dormant), ndiyo vinaweza kupatikana kwenye miili ya watu wenye UKIMWI.
Lazima mbegu ya kirusi pekee itoke kwa mwenyeji na kukua na kuwa kirusi binafsi.
- The pathogen must be isolated from the diseased host and grown in a pure culture/
Hapa kwenye postulate no 2 HIV imefaulu :
Hapa HIV imefaulu-katika baadhi tu ya watu sababu ya kiteknolojia.
Kiasi kikubwa cha tishu za seli zinahitajika ili kupata HIV. HIV pia kinahitaji mchakato wa kikemikali ikiwa ni pamoja na kuamka, kinyume chake, kiasi kikubwa cha virusi walioamshwa wanaweza kupatikana pamoja na virusi wengine.
Hapa kwenye postulate no3 HIV pia imefeli:
- The pathogen must cause the same disease when injected into a new healthy host / kiumbe/kirusi Lazima kisababishe ugonjwa ule ule sawa wakati kimedungwa kwa mwenyeji mwingine mwenye afya.
HIV havisababishi UKIMWI katika majaribio kwa wanyama kama sokwe.
Kwa kuongezea pia Wahudumu wa afya ambao kwa bahati mbaya huambukizwa HIV wakati wakitimiza majukumu yao mara chache huugua Ukimwi isipokuwa kama ni watumiaji wa madawa ya kulevya.
Sasa Robert Gallo mwenyewe hakubaliani na hizi postulates, anasema ziko out of date na morden science. Magonjwa mengi ambayo yamepuuza kanuni za Koch nadharia zake zimefeli, na yote yamekuwa proved kuwa non-infectious diseases mfano Kiseyeye, beriberi na smon.
Na kuhusu eveidence za HIV/AIDS nimezisoma na za denialists nimezisoma thats why niko upande wa Denialists baada ya kuthink independently na kuchambua facts.
Mkuu ndiyo maana nakwambia wewe sio msomaji na huijui background ya AIDS, huwezi kuisoma background ya AIDS bila kukuta research ya kansa ikiwa haijaguswa. Nilipozungumza kansa kama kweli ni mfatiliaji na msomaji usingeanza kuja na aina za kansa hapa, Robert Gallo aliclaim kwamba kansa aina ya Leukemia ilikuwa ikisababishwa na retrovirus, ungekuwa unafahamu usingeniuliza hayo maswali kwamba sijui HPV inasababisha shingo kizazi na mengineyo. Wewe huijui background ya AIDS zaidi ya kuwapima watu kwenye maabara.
Na kuhusu virus kuwa transmitted kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, sijasema kwamba virusi hawezi kuwa transmitted. Kuna njia nyingi tu virusi wanaweza kuwa transmitted na Virusi aina ya retrovirus efficiently transimission yao ni kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (perinatal) kuliko njia ya kujamiana.
Kuhusu hoja zangu kubase kisiasa huo ni mtazamo wako kwasababu umejifungia kwenye chupa na unaamini ulichosoma darasani ndiyo mwisho wa elimu.
Yes exactly! Sijakataa kwamba wewe ni doctor, kwani aliyempasua mtu kichwa badala ya mguu kwani naye ni nani?? Mbona unaanza kutishia watu nyau?
Narudia tena, Yes! Exactly wewe ni doctor wangu but wewe ni doctor wangu kwasababu una cheti cha udaktari kutoka chuo flani na sio kwamba uko competent. Na pia ni doctor wangu kwasababu ya matokeo ya mfumo mbovu wa elimu. Nothing More.
Huko kwenye crafting sikuwezi,kwa kuwa ndio fani yako,ila ukija kwenye nondo lazima nikupoteze.Kwakuwa unalijua hilo, ndio maana ukaamua kuingia kwenye fani yako ya kufanya crafting.
Kuna baadhi ya madaktari wenzako wameitwa pia kwenye uzi huu lakini hawakujitokeza,si kama hawajauona uzi huu,la hasha,bali wameniona mimi pia nipo ndani ya nyumba,ndio maana wakajisalimisha mapema kwa kuwa wanaujua mziki huu.
He he heee,nimecheka sana ulivyoamua kujirusha mwenyewe nje ya fence.Ukiniona sehemu nyingine yoyote humu JF,iwe kwenye siasa,uchumi,science,afya nk, usikurupuke kuingia kabla hujafanya revision.
Hehe, I see unaanza kufanya retaliation!! Basically unanirudisha kule kule ambapo nimepatolea maelezo. Mbona hizi hoja nimejibu? Tena kwa link nzuri inayoelezea kila hoja na jibu Lake? Nimekuuliza kuwa how do you explain such overwhelming evidence juu ya HIV AIDS, mbona hujibu? pia, research zote zilizotolewa reference katika article niliyowapa kwani zimefanywa na wamarekani ama pro-HIV activists pekee? Kwanini tunakuwa wagumu kukubali matokeo ya tafiti?
Hoja ya kwamba HIV ku-faulu postulate namba 2 sababu ya teknolojia inazidi kunidhihirishia kwamba huelewi kwanini unanipinga. Kumbuka, nimekuwa nikisema sayansi haiko stagnant. Kama unakubali hivyo, inamaana unakubaliana na matokeo ya tafiti zinazoelezea vizuri zaidi concept ya HIV-AIDS zilizofanywa kupitia much improved technological know-how!!
Mimi pia nimesoma theories za denialists, na nazielewa. Still, I find them unfounded!! Naendelea kusoma zaidi.
Unajua kuhusu viral hepatitis B? Unajua kwamba some cases of this disease wanapewa ARVs? Au unadhani ARV ni kwa AIDS tu? Unajua ninachojua???
Kuhusu mimi kuwa competent or not hiyo ni sarakasi tu unafanya. Inamaana a competent doctor kwako ni yule anayekubali denialism ama anayewaza kama wewe tu?
Bottom line, u can never survive a single minute in my world, you are not me!! So just let me be... The doctor that you will always run to when you "run" out of answers as to why something is troubling your body!! I feel blessed, hope uzao wako utatoa madaktari pia. Peace
Hehe, I see unaanza kufanya retaliation!! Basically unanirudisha kule kule ambapo nimepatolea maelezo. Mbona hizi hoja nimejibu? Tena kwa link nzuri inayoelezea kila hoja na jibu Lake? Nimekuuliza kuwa how do you explain such overwhelming evidence juu ya HIV AIDS, mbona hujibu? pia, research zote zilizotolewa reference katika article niliyowapa kwani zimefanywa na wamarekani ama pro-HIV activists pekee? Kwanini tunakuwa wagumu kukubali matokeo ya tafiti?
Hoja ya kwamba HIV ku-faulu postulate namba 2 sababu ya teknolojia inazidi kunidhihirishia kwamba huelewi kwanini unanipinga. Kumbuka, nimekuwa nikisema sayansi haiko stagnant. Kama unakubali hivyo, inamaana unakubaliana na matokeo ya tafiti zinazoelezea vizuri zaidi concept ya HIV-AIDS zilizofanywa kupitia much improved technological know-how!!
Mimi pia nimesoma theories za denialists, na nazielewa. Still, I find them unfounded!! Naendelea kusoma zaidi.
Unajua kuhusu viral hepatitis B? Unajua kwamba some cases of this disease wanapewa ARVs? Au unadhani ARV ni kwa AIDS tu? Unajua ninachojua???
Kuhusu mimi kuwa competent or not hiyo ni sarakasi tu unafanya. Inamaana a competent doctor kwako ni yule anayekubali denialism ama anayewaza kama wewe tu?
Bottom line, u can never survive a single minute in my world, you are not me!! So just let me be... The doctor that you will always run to when you "run" out of answers as to why something is troubling your body!! I feel blessed, hope uzao wako utatoa madaktari pia. Peace
Mkuu nimepitia hiyo link wamejibu vitu vingi siwezi kujibu kila kitu hapa.
HIV/AIDS defendants baada ya kuona ya HIV imefeli katika postulate karibu zote za KOCH wamekuwa wakija na sarakasi kila miaka inavyosogea na hii yote ni kutaka kuficha utapeli juu ya hypothesis yao. Na kamwe usidhani kama HIV/DEFENDANTS watakubali kwamba HIV is not the cause of AIDS...Never. Kukubali ni kula matapishi yao.
Kuhusu wewe kusoma theories za denialists na kuzielewa umeanza kusoma juzi nahisi. Na ndiyo maana kuna swali uliniliuliza ambalo lilithibitisha kwamba wewe sio msomaji na mchimbaji wa mambo. Uliniluliza mbona Duesberg ameshindwa kusema nini chanzo cha AIDS?
Naona unanipeleka kwenye somo la ARVS, huko ndiyo usiguse kabisa, na huko kwenye hiyo biashara ya ARVs ndo inafanya wewe kuendelea kuwa Doctor na kuwa upande wa HIV/AIDS defendants. Kwasababu ndiyo chakula chako kilipo.
.....
Doctor mkuyati og nimekuelewa vizuri sana nami ndivyo navyoelewa kwa ufahamu wangu mdogo juu ya utendaji wa ARV kwa mgonjwa ,sasa huwa natatizwa sana juu ya hili, tunajua kwamba Tabia ya mdudu HIV ni kujibadilisha badilisha , umesema huwezi ua mdudu aliyeko kwenye cell bila kuua cell yenyewe,kwahiyo ARV atamuua kwanza cell ili aweze kupambana na mdudu HIV,na mdudu HIV anachofanya huwa anaziteka kwanza cell zile na huishi ndani yake ni kama vile cell yenyewe(nipo tayari kusahihishwa kama siko sawa),sasa kama HIV anabadilika hizi ARV zinaenda kuzuia nini? Na iwapo cell mpya zimezaliwa huoni HIV ataziteka kwa urahisi maana kwanza alijibadilisha ARV akaenda kutibu ambacho sicho ,na tunajua dawa yoyote ni sumu hamuoni kuwa mnazirundika tu hizi dawa mwilini mwa mtu na mwishowe mtu anapata magonjwa mengine ambayo hayakuwepo kutokana na hizo sumu?
Kama huna ujuzi na udaktari basi acha kubeza kazi za watu. Nawashauri madaktari msipoteze muda huyu hoax anayejiita deception . Umaarufu au hela hazitafutwi kwa kucheza na uhai wa watu . Mtu anakwambia yuko labaratory wewe unakesha google na youtube ili ubishe . Kama kweli una ujuzi huo nenda muhimbili hospital , amana , au mwananyamala kaaidiane na madokta kuokoa wagonjwa wa ukimwi wanaokufa kila siku .una tofauti gani na babu wa loliondo aliyesema ana dawa ya ukimwi na kuwaita watu waende loliondo baadala ya kuwafuaa hospital . Unaponda tiba za magharibi halafu unakesha huko huko kunukuu tafiti zao . Hulazimishwi kuikubali elimu ya magharibi haya lete ya huko mashariki au yako ya africa itumike kuokoa watu. Au fungua clinic yako jitangaze kama unaisaidia kutibu ukimwi as ulivyosema huhitaji hela ......... Unalazimisha upate deal hadi kudanganya watu umejichoma sindano ya ukimwi ili watu wakuamini . Duh wewe mtu hatari sana . Nashauri huyu mtu akamatwe atengwe na jamii. . Atauwa sana watu walio desperate na kujipatia hela isivyo halal. Tcra wafanye kazi yao
....imekuwa ndefu mno na ngumu kufuatilia.
Tatizo kubwa mnashindwa kukiri kuwa lugha yenyewe tunayoitumia haina utajiri huo wa maneno au sisi/mimi hatuna/sina ufahamu huo mkubwa wa kuitumia katika muktadha huu wa fani ya afya. Hapo comment za juu nilijaribu kuelezea kwa lugha ambayo inatumika kwa ujumla wake. Neno kama UKIMWI limetumika kwa muda likimaanisha upungufu huo wa kinga utokanao na maambukizi ya virusi vya kinga ya mwili, ambavyo kwa uhaba huo huo wa maneno unakuta wanaita tena virusi vya ukimwi kama title ya thread (V.V.U). Sasa tunarudi tena kwenye hoja ya oooh inamaana kuna UKIMWI wa aina tofauti wakati kwa lugha yetu hii ya kiswahili ni kama tumeshakubaliana kuwa UKIMWI ni ile hali ya upungufu wa kinga ya mwili unaosababishwa na maambukizi ya virusi ambavyo tayari vinajulikana.
Uchambuzi huu unafaa ila pia inabidi tutazame namna ya kuchangia, maana naona kuna watu wanaambia hili wanarudi wanauliza inamaana kuna UKIMWI wa aina nyingine zaidi. Lazima utambue kuna mambo ambayo yanaathiri afya ya jamii kwa ujumla wake kwa maana ya madhara ya muda mrefu na pia uwingi wake katika jamii husika. Kiuhalisia kuna magonjwa mengi ambayo yanaweza kupunguza kinga ya mwili, ila kwa jamii yetu ya tanzania hayajawa kwa upana wa kuyafanya kuwa ni hoja ya kujadiliwa kama ilivyo kwa UKIMWI.
Ngoja niwape kasomo kadogo, you will survive the most if you are ready to adapt well to the environment. Linganisha tofauti kati ya ebola virus and human immuno-deficiency virus. Hint..
Facts for HIV;
A very clever virus which has managed to manipulate its existence by binding into the host DNA machinery to the extent that it is difficult to eliminate it/fight it unless you sacrifice your own cells. Also ana replicate (zaliana) very slowly jambo linalofanya kukaa kwa mtu mmoja kwa muda mrefu sana bila kutambua kuwa mtu huyo anacho. Mwisho HIV anaweza ku "chill" tu (lugha ya kitaa ili twende sawa) bila kureplicate kwa kuattach RNA strand yake ndani ya human DNA hivyo kuwa kama akiba ya muda mrefu, then binadamu akijifanya kureplicate tu nacho kinajizaa na kuingia seli nyingine. Characteristics hizi zimesababisha kirusi huyu kuwa habari ya mujini kwa muda mrefu sana, mpaka kinachofanyika kwa sasa ni kusuppress replication aka Anti-retro viral drugs (ARVs) ambazo hizi zinazuia replication...aka kuzaliana kwa kirusi. Ukifanikiwa hapa unapelekea kubaki na virusi wachache sana ambao wako suppressed into a dormant state in your own DNA machinery. Balance ikipotea (mfano ukiacha kutumia dawa) vwalaaa wanajirudi tena kwa upya katika ubora wao na kuanza kuathiri CD4 cells.! Pia kumbuka argument ya CD4 nilishaitoa kule juu kuwa tatizo sio wingi au uchache wa CD4, ni ubora wa hizo CD4 zilizopo ile concept niliwaambia ya Innocent by-stander..!
Facts for Ebola virus;
Huyu ni mpenda sifa za kijinga, akiingia tu anaanza na mbwembwe anaua kila seli aingiayo, hii inafanya dalili za ugonjwa zije kwa fasta ndani ya wiki tu tushajua hadi mwananyamala komakoma kuwa liberia kimeshanuka. Hakiwezi kwenda kwenye latency/dormancy stage kwa binadamu japokuwa kuna baadhi ya strain za ebola ambazo hazina tabia ya hapo juu hivyo kuna binadamu ambao ni carriers wa hii kitu. Kutokana na hili, ni rahisi sana kufight na huyu mpenda sifa, maana anajionyesha kirahisi na anaua host wake ndani ya muda mchache. Hivyo ukizuga tu kuwa unafanya isolation ya waathirika (na vile wanatambulika) then unakuwa ushadhibiti usambaaji wa ugonjwa.
Ukiziona tofauti hizi mbili hapo juu utajua ni kwanini HIV aka kisababishi cha UKIMWI (kwa lugha ambayo iko kwenye vipeperushi vya hospitali zenu) kimekuwa ni tatizo hapa mjini. Na kuendelea kubisha kwetu na kuficha ficha mambo ndio kunatucost wakati wazungu jambo hili lilianzia kwao ila wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupambana nalo!
Nisamehewe sana, naona imekuwa ndefu mno!:teeth:
Achana nae kilaza huyo!usionge vitu usivyo vijua deception siyo mtu wa kwanza ku critisiz swala la ukimwi.kuna hotuba ya Thabo Mbeki aliyekuwa rais wa south afrika aliwahi kufanya hvyo.
usionge vitu usivyo vijua deception siyo mtu wa kwanza ku critisiz swala la ukimwi.kuna hotuba ya Thabo Mbeki aliyekuwa rais wa south afrika aliwahi kufanya hvyo.
Achana nae kilaza huyo!
Ye ni mfuatiliji wa Gazeti la Sani, mwache akacheze anako chezaga huko.