Si kweli kwamba ni ya kudhalilisha....Nchi za wenzetu mfano Mozambique walimu wanavaa overcoat km za madaktari na kwa kweli zinaongeza heshima.jezi mpaka shulen kwel watu waangeukimbia ualimu
umenena nduguHvi kuvaa sare ndo wanatumia nguvu zote hzi kukanusha?
Wizara ya elimu ije na hoja kama;
I. Ada elekezi kimyaaa hadi leo.
II. Madai yetu walimu walisema mwishon machi hii ni april katikati.
iii. Vp mbona masters hazina madaraja wakati sector nyingine kuna madaraja na viwango vya mshahara mpaka PhD
iv. Hvi swala la posho kwa waratibu wakuu wa shule na walimu mbona utekelezaji wake ni kifafa kama sio kifo.
v. Lini bodi ya walimu itaanzishwa tuondokane na kuwa watoto wanaomjua mama ila wasiomjua baba yao?
Hizi ndio hoja za kuleta hapa sio viujumbe hivyo mtoto alikuwa anachezea simu ya babake au mamaye akapost.
Leten majibu acheni siasa tumeuliza mpaka tumechoka.
Mkuu nimeipenda 100%Hvi kuvaa sare ndo wanatumia nguvu zote hzi kukanusha?
Wizara ya elimu ije na hoja kama;
I. Ada elekezi kimyaaa hadi leo.
II. Madai yetu walimu walisema mwishon machi hii ni april katikati.
iii. Vp mbona masters hazina madaraja wakati sector nyingine kuna madaraja na viwango vya mshahara mpaka PhD
iv. Hvi swala la posho kwa waratibu wakuu wa shule na walimu mbona utekelezaji wake ni kifafa kama sio kifo.
v. Lini bodi ya walimu itaanzishwa tuondokane na kuwa watoto wanaomjua mama ila wasiomjua baba yao?
Hizi ndio hoja za kuleta hapa sio viujumbe hivyo mtoto alikuwa anachezea simu ya babake au mamaye akapost.
Leten majibu acheni siasa tumeuliza mpaka tumechoka.
Kila siku kukanusha kwanini hao wazushi wasikamatwe mbona cyber crime law imetunyima bure mbona hao wazushi hawakamatwi,
Serikali ya makanusho.