UZUSHI: Ibrahim hajawahi kufika Mecca

UZUSHI: Ibrahim hajawahi kufika Mecca

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,539
Reaction score
3,860
Ibrahimu hajawahi fika Makka

Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.

Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo katika nguzo tano za uislamu ni kuhiji Maka kwa mtu mwenye uwezo. Hivyo ni tamanio la kila Muislamu duniani kufika hapo kabla hajafa. Wakiamini madhambi yako yote yanasamehewa ukifika hapo.

Ndio maana hata Mwijaku alifika hapo lakini mmmh. Hujaj yoyote yupo tayari kufia hapo kwenye alkaaba akiamini kama atakufa basi pepo ni yake. Hivyo wakifika hapo ni HARMAGEDON WAR ili kubusu jiwe jeusi iwe kwa amani au kwa show ya kibabe kama hiyo hapo unayoiona wakiminyana mbavu mbele za nyumba ya Allah.
FB_IMG_1741291604830.jpg

Uongo waliomezeshwa waislamu

Muislamu yoyote ameaminishwa kwamba alkaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe Ishamel. Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Ibrahimu alifika Maka zaidi ya ngano za Waarabu. Kutoka Canaan hadi Maka ni kilomita 1397. Hata Ishmael hajawahi ishi Maka, aliishi katika jangwa la Beersheba ambalo limeshikamana na jangwa la Paran.

Ndio maana alivyokufa Ibrahimu alikuja na kumzika pamoja na Isaka. Hivyo waliishi jirani tu. Sasa fikiria utoke Maka hadi Canaan kumzika mtu kwa usafiri wa Ngamia uweze? Hata kwa bus huwezi fika siku hiyo hiyo. Na kwanza atakuwa hajaoza tu? Au walikuwa na mochwari sio? Na nani alimpelekea Ishmael habari kwa umbali huo?
FB_IMG_1746560728862.jpg

Hivyo uongo wa Ibrahimu kujenga Alkaaba hauna tofauti na dai la Wakatoliki kwamba Petro ni papa wa kwanza na kwamba kanisa lililopo Vatican limejengwa juu yake. Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu hasa mungu mkuu wa makabila ya mashariki aliyejulikana kama Baal au Hubali aliyeabudiwa na Waarabu na wakamwita Allah mungu wa mji wa Maka na Alkaaba.
FB_IMG_1741457446089.jpg

Na mjenzi mkuu wa ibada hiyo ni Wababeli na huko Hejaz aliyejenga ibada ya Hubali na mungu mwezi ni Nabonidas (mwabudu mwezi) mwana wa Nebukradreza.
FB_IMG_1741455823858.jpg

Na ndio maana hata leo mwezi na nyota ni ishara za uislamu maana eneo hilo kabla ya Uislamu waliishi waabudu mwezi.
FB_IMG_1741324635766.jpg

Ukweli sio rahisi kuzikwa.
 
Ibrahimu hajawahi fika Makka

Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.

Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo katika nguzo tano za uislamu ni kuhiji Maka kwa mtu mwenye uwezo. Hivyo ni tamanio la kila Muislamu duniani kufika hapo kabla hajafa. Wakiamini madhambi yako yote yanasamehewa ukifika hapo.

Ndio maana hata Mwijaku alifika hapo lakini mmmh. Hujaj yoyote yupo tayari kufia hapo kwenye alkaaba akiamini kama atakufa basi pepo ni yake. Hivyo wakifika hapo ni HARMAGEDON WAR ili kubusu jiwe jeusi iwe kwa amani au kwa show ya kibabe kama hiyo hapo unayoiona wakiminyana mbavu mbele za nyumba ya Allah.
View attachment 3326462

Uongo waliomezeshwa waislamu

Muislamu yoyote ameaminishwa kwamba alkaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe Ishamel. Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Ibrahimu alifika Maka zaidi ya ngano za Waarabu. Kutoka Canaan hadi Maka ni kilomita 1397. Hata Ishmael hajawahi ishi Maka, aliishi katika jangwa la Beersheba ambalo limeshikamana na jangwa la Paran.

Ndio maana alivyokufa Ibrahimu alikuja na kumzika pamoja na Isaka. Hivyo waliishi jirani tu. Sasa fikiria utoke Maka hadi Canaan kumzika mtu kwa usafiri wa Ngamia uweze? Hata kwa bus huwezi fika siku hiyo hiyo. Na kwanza atakuwa hajaoza tu? Au walikuwa na mochwari sio? Na nani alimpelekea Ishmael habari kwa umbali huo?
View attachment 3326466
Hivyo uongo wa Ibrahimu kujenga Alkaaba hauna tofauti na dai la Wakatoliki kwamba Petro ni papa wa kwanza na kwamba kanisa lililopo Vatican limejengwa juu yake. Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu hasa mungu mkuu wa makabila ya mashariki aliyejulikana kama Baal au Hubali aliyeabudiwa na Waarabu na wakamwita Allah mungu wa mji wa Maka na Alkaaba.
View attachment 3326469
Na mjenzi mkuu wa ibada hiyo ni Wababeli na huko Hejaz aliyejenga ibada ya Hubali na mungu mwezi ni Nabonidas (mwabudu mwezi) mwana wa Nebukradreza.
View attachment 3326470
Na ndio maana hata leo mwezi na nyota ni ishara za uislamu maana eneo hilo kabla ya Uislamu waliishi waabudu mwezi.
View attachment 3326471
Ukweli sio rahisi kuzikwa.
Kesho asubuhi Nikiamka Nikumbushe Nikupe Maelezo ya Kina kwa Ukichowasilisha
 
Nikisema Mimi wanasema na chuki na uislamu,Bora mseme nyie
 
Wewe endelea kusujudia bikra maria
Mambo ya historia za dini kwa kugoogle achana nayo.
Au na wewe unaamini yesu alimwaga damu ili ufutiwe dhambi?
Au wewe unaamini Yesu mwana wa Mungu babake alishindwa muokoa mpaka washkaji wakamtundika kwenye mlingoti!
 
UONGO: HUYU SIO MUNGU

Vunjeni masanamu yake makanisani, mtoeni kwenye rozari na mapicha picha ya ukutani

HUYU mwamba ni muigizaji tu
Uko sahihi, director mmoja wapo wa hiyo movie si ni Mel G!

Mada ya jamaa, ni kweli Baal ni Allah?
 
Ibrahimu hajawahi fika Makka

Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.

Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo katika nguzo tano za uislamu ni kuhiji Maka kwa mtu mwenye uwezo. Hivyo ni tamanio la kila Muislamu duniani kufika hapo kabla hajafa. Wakiamini madhambi yako yote yanasamehewa ukifika hapo.

Ndio maana hata Mwijaku alifika hapo lakini mmmh. Hujaj yoyote yupo tayari kufia hapo kwenye alkaaba akiamini kama atakufa basi pepo ni yake. Hivyo wakifika hapo ni HARMAGEDON WAR ili kubusu jiwe jeusi iwe kwa amani au kwa show ya kibabe kama hiyo hapo unayoiona wakiminyana mbavu mbele za nyumba ya Allah.
View attachment 3326462

Uongo waliomezeshwa waislamu

Muislamu yoyote ameaminishwa kwamba alkaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe Ishamel. Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Ibrahimu alifika Maka zaidi ya ngano za Waarabu. Kutoka Canaan hadi Maka ni kilomita 1397. Hata Ishmael hajawahi ishi Maka, aliishi katika jangwa la Beersheba ambalo limeshikamana na jangwa la Paran.

Ndio maana alivyokufa Ibrahimu alikuja na kumzika pamoja na Isaka. Hivyo waliishi jirani tu. Sasa fikiria utoke Maka hadi Canaan kumzika mtu kwa usafiri wa Ngamia uweze? Hata kwa bus huwezi fika siku hiyo hiyo. Na kwanza atakuwa hajaoza tu? Au walikuwa na mochwari sio? Na nani alimpelekea Ishmael habari kwa umbali huo?
View attachment 3326466
Hivyo uongo wa Ibrahimu kujenga Alkaaba hauna tofauti na dai la Wakatoliki kwamba Petro ni papa wa kwanza na kwamba kanisa lililopo Vatican limejengwa juu yake. Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu hasa mungu mkuu wa makabila ya mashariki aliyejulikana kama Baal au Hubali aliyeabudiwa na Waarabu na wakamwita Allah mungu wa mji wa Maka na Alkaaba.
View attachment 3326469
Na mjenzi mkuu wa ibada hiyo ni Wababeli na huko Hejaz aliyejenga ibada ya Hubali na mungu mwezi ni Nabonidas (mwabudu mwezi) mwana wa Nebukradreza.
View attachment 3326470
Na ndio maana hata leo mwezi na nyota ni ishara za uislamu maana eneo hilo kabla ya Uislamu waliishi waabudu mwezi.
View attachment 3326471
Ukweli sio rahisi kuzikwa.
Anzisheni thread Kila siku ila mnajifariji wenyewe tu

Hamna muislamu ambaye ataona ajabu maana usislamu wenyewe umeshasema kitambo juu ya chuki MAKAFIRI aka WAGALATIA

Shida wapumbavu wa JF wanaona ndio wanapambana kuurusisha nyuma UISLAMU

Someni historia ya UISLAMU vizuri halafu mjiangalie na nyinyi kama Kuna jipya mnafanya

Walikuwa majabar na wameshindwa sio nyinyi keyboard worriors ambao hamna impact yoyoye kwenye zaidi ya kujipotezea muda tu
 
Uko sahihi, director mmoja wapo wa hiyo movie si ni Mel G!

Mada ya jamaa, ni kweli Baal ni Allah?
UISLAMU hatusomi chatgpt

Wajinga ambao hata Biblia yenu hamuijui kazi kwenda kucheza miziki kanisani mtatuambia nini kwenye UISLAMU ambao tunakaa na kusoma UISLAMU wetu

Yaani mgalatia anifundishe mimi UISLAMU?

Huku anamuabudia comedian
 
Ibrahimu hajawahi fika Makka

Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.

Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo katika nguzo tano za uislamu ni kuhiji Maka kwa mtu mwenye uwezo. Hivyo ni tamanio la kila Muislamu duniani kufika hapo kabla hajafa. Wakiamini madhambi yako yote yanasamehewa ukifika hapo.

Ndio maana hata Mwijaku alifika hapo lakini mmmh. Hujaj yoyote yupo tayari kufia hapo kwenye alkaaba akiamini kama atakufa basi pepo ni yake. Hivyo wakifika hapo ni HARMAGEDON WAR ili kubusu jiwe jeusi iwe kwa amani au kwa show ya kibabe kama hiyo hapo unayoiona wakiminyana mbavu mbele za nyumba ya Allah.
View attachment 3326462

Uongo waliomezeshwa waislamu

Muislamu yoyote ameaminishwa kwamba alkaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe Ishamel. Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Ibrahimu alifika Maka zaidi ya ngano za Waarabu. Kutoka Canaan hadi Maka ni kilomita 1397. Hata Ishmael hajawahi ishi Maka, aliishi katika jangwa la Beersheba ambalo limeshikamana na jangwa la Paran.

Ndio maana alivyokufa Ibrahimu alikuja na kumzika pamoja na Isaka. Hivyo waliishi jirani tu. Sasa fikiria utoke Maka hadi Canaan kumzika mtu kwa usafiri wa Ngamia uweze? Hata kwa bus huwezi fika siku hiyo hiyo. Na kwanza atakuwa hajaoza tu? Au walikuwa na mochwari sio? Na nani alimpelekea Ishmael habari kwa umbali huo?
View attachment 3326466
Hivyo uongo wa Ibrahimu kujenga Alkaaba hauna tofauti na dai la Wakatoliki kwamba Petro ni papa wa kwanza na kwamba kanisa lililopo Vatican limejengwa juu yake. Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu hasa mungu mkuu wa makabila ya mashariki aliyejulikana kama Baal au Hubali aliyeabudiwa na Waarabu na wakamwita Allah mungu wa mji wa Maka na Alkaaba.
View attachment 3326469
Na mjenzi mkuu wa ibada hiyo ni Wababeli na huko Hejaz aliyejenga ibada ya Hubali na mungu mwezi ni Nabonidas (mwabudu mwezi) mwana wa Nebukradreza.
View attachment 3326470
Na ndio maana hata leo mwezi na nyota ni ishara za uislamu maana eneo hilo kabla ya Uislamu waliishi waabudu mwezi.
View attachment 3326471
Ukweli sio rahisi kuzikwa.
Hata angefika, inatusaidia nini sisi tulioletewa huu ujinga na kuua mila zetu hadi kubatilisha majina yetu na kutupachika yao?
 
UISLAMU hatusomi chatgpt

Wajinga ambao hata Biblia yenu hamuijui kazi kwenda kucheza miziki kanisani mtatuambia nini kwenye UISLAMU ambao tunakaa na kusoma UISLAMU wetu

Yaani mgalatia anifundishe mimi UISLAMU?

Huku anamuabudia comedian
Hakuna maandiko ya kihistoria yaliyothibitishwa ya kabla ya Uislamu (kabla ya karne ya 7 BK) yanayoonyesha Ibrahimu aliwahi kufika au kuhusika na ujenzi wa Alkaaba. Wakristo na Wayahudi (ambao pia wanamheshimu Ibrahimu) hawana rejea zozote za Ibrahimu kufika kusini mbali huko Maka.

Ushahidi wa Kumbukumbu:

Biblia (Genesis 21:21): Inasema Ismael “akaishi katika jangwa la Parani”. Jangwa hili linaaminika liko karibu na Sinai au Negev, si Maka.
 
Malizia kumuabudu Mungu wako ulale

MWAMBA HUYU HAPA
Je, Alkaaba ilijengwa na waabudu miungu kabla ya Uislamu?

Ndiyo Ushahidi wa kihistoria unaunga mkono hoja hii.

Kabla ya Uislamu, Maka ilikuwa kituo cha biashara na kidini, na Alkaaba ilikuwa na masanamu zaidi ya 360.

Hubal alikuwa sanamu kubwa ndani ya Alkaaba, na alikuwa ni mungu wa mvua na vita.

Ibn al-Kalbi, mwanahistoria wa Kiislamu, aliandika:

"Hubal was brought to Mecca by the Amr ibn Luhayy, a chief of the Khuza tribe..."
 
Wewe endelea kusujudia bikra maria
Mambo ya historia za dini kwa kugoogle achana nayo.
Au na wewe unaamini yesu alimwaga damu ili ufutiwe dhambi?
Au wewe unaamini Yesu mwana wa Mungu babake alishindwa muokoa mpaka washkaji wakamtundika kwenye mlingoti!
Wakatoliki na waislamu ni wale wale ,maana Ukatoliki ulianzisha uislamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom