Uzushi dhidi ya Mwl.Kashindye-Igunga

Uzushi dhidi ya Mwl.Kashindye-Igunga

chadema imekufa tayari, si kashndye, mbowe, au mtu yeyote atakayeweza kukiokoa chama hiki. Hii ni natural death hamna wa kuzuia
 
ACT kweli ni mafundi wa kununua makamanda wa chadema wamekosa kosa kumnunua diwani wa kata ya ISEKE kupitia chadema Bw.Emmanuel J.Jingu hela ni za ccm au act.

ni za watanzania zilizo kwapuliwa kutoka benki kuu na majambazi makuu ccm...
 
Wadau kuna upotoshaji uliletwa na wana CCM tawi la ACT kwamba Mwl.Kashindye aliyekuwa mgombea Chadema Igunga amejiweka pembeni na Chadema.Habari hizi sio za kweli na hata uzushi haufahamiki kabisa Igunga.Kudhihirisha hilo Kashindye yupo na gari ndogo plale no.T445 ALT,akitangaza ratiba ya uchaguzi wa Chama hicho.Gari hilo limepambwa na bendera za Chadema lipo maeneo ya Sayari karibu na parking ya Mohamed Trans.Ninazo taarifa za Dr.Kafumu kumrubuni Kashindye ajitoe CHADEMA kwa ahadi ya kumpatia ajira mgodini.Namshauri Dr.Kafumu badala ya ku-deal na Kashindye,angepigania pesa za fidia ya Tanesco iliyoliwa na DC Elibariki Kingu
sawa kabisa binafsi nimeshangaa taarifa hizo aliye zileta amazitoa wapi, hapa igunga sijasikia kitu kama hicho, btw kuna viongozi wa cdm inabidi wapumzishwe,
 
Back
Top Bottom