Uzuri wao upo wapi kama wamefanya haya

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Kila kiongozi ana mazuri yake na mapungufu yake kumpa mwinyi sifa ya kiongo aliyeona mbali kweli hastahili hata kidogo....kama kiongozi inabidi uwe na msimamo na mambo unayoyafanya....ushauri ni mzuri lakini je ni kwa maslai ya nani? viongozi wengi hawajali maslai ya nchi hii, NYERERE TU ndio alikuwa mzalendo na nchi, mkapa alifanya maendeleo pia alianya mabaya, KIKWETE anapiga domo tu hakuna lolote aliloanya amefanya mabaya mengi kuliko mazuri, mimi naona kikwete anaenda tu amalize mwigine aje.Kama kiongozi inabidi ulete mabadiliko ambayo wananchi hawata sahau.....mfano mkapa uwanja wa taifa,barabara ambazo kikwete kashindwa kumalizia,daraja la kusini......MWINYI kauza loliondo hadi leo wananchi wanapata shida kwa ajili yake....HIVI NDIVYO TUNAVYO MUENZI BABA WA TAIFA
 
Back
Top Bottom