Uzuri wa sehemu hizi

pazuri ila panatisha kwa kupita usiku aise mhhh usije ukakutana na watoto wa panya road
 
hahaha.. umesahau kaubaridi cha hapo kama 2po mufindi vile mkuu.
BATTO napafananisha sana na Mufindi Iringa ila kwa sasa hivi kupita sehem kama hizo usiku watoto wa panya road ni halali yako
Na kuna msitu fulani ukitoka tu Geita mjini unakutana nao na mwingine ukitoka Kahama Mpaka Ushirombo na kutoka Ushirombo mpaka Runzewe na Runzewe mpaka Nyakanazi hapo kati kuna misitu mikubwa sana
 
Last edited by a moderator:


Nakubaliana na wewe asilimia mia panya road kuhusika hapo..,
 
Pori la Ushirombo ambalo lipo Mkoa wa Shinyanga njia ya kwenda Rwanda na Burundi lilikua hivi, ila pita leo jamaa wamesafisha msitu wote wameshafyeka ogopa wasukuma weyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…