Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1394707286.543029.jpg

Ndugu zangu, wapenzi
Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe.

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujilemba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!

Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojilemba zaidi ndivyo hamu ya kuendelea nae kimahusiano inapungua.

Ukweli ni kwamba nikiwa mausiano na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata fraha ikilinganishwa na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.

Sijui ni ugonjwa au ni jambo ambalo hata wanaume wenzangu huwa linawakumba?

Tafadhali karibuni kwa mawazo
 
Kulaleki.

Sasa na huyu? Mbona mwatuchafulia boxer mchana mchana?
 
Kila mtu ana kigezo chake cha uzuri.....kama wew binafsi ulivyosema awe natural....
 
Uzuri wa mwanamke ni tabia na sio umbo so hata awe mzuri vp ila kama tabia yake mbaya sijuhi kama utaweza vumilia
 
mimi mwanamke mzuri atleast awe anahudhuria msalani kwa wiki mara moja tu na nisishuhudie,akizidisha namuona wa kawaida tu.
 
uzuri wa mwanamke upo machoni mwako dhats why unawezapenda sehemu na mwenzako akaona kawaida au akaona hamna kitu kabisa
 
View attachment 144639Ndugu zangu, wapenzi
Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe.

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujilemba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!

Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojilemba zaidi ndivyo hamu ya kuendelea nae kimahusiano inapungua.

Ukweli ni kwamba nikiwa mausiano na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata fraha ikilinganishwa na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.

Sijui ni ugonjwa au ni jambo ambalo hata wanaume wenzangu huwa linawakumba?

Tafadhali karibuni kwa mawazo

Uzuri wa mwanamke papuchi...mfunue uone jinsi papuchi ilivyo kama ina sura nzuri basi huyo ni mzuri kama ni mbaya naye ni mbaya pia,,nimemaliza!
 
kulingana na mtazamo wa mtu anapenda mwanamke wa aina gani tabia nzuri mcha Mungu awe na vitu vyote muhmu mwanamke kuwa nayo kama papuchi ambayo ndo muhmu
 
Uzuri wa mwanamke ni tabia na sio umbo so hata awe mzuri vp ila kama tabia yake mbaya sijuhi kama utaweza vumilia

Mkuu kwa anaeoa au anaetaka kuoa,ila ambao hatuko kwenye ndoa hyo kigezo ya tabia haifanyi kazi,lazma awe mzuri kwa nje(muonekano wa kuvutia),awe anajua mambo kwenye uwanja wa vita
 
Back
Top Bottom