Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Lol.. inategemea na nywele Na hizo powder mtu anajikandikaje. Kwa mfano mtu nywele yake haiosheki unategemea nini kwenye harufu? Na powder nashangaa sana mnavyoziponda wakati ziko enzi na enzi sema wamasai ndo walikua wanazipaka sana.
Sema nini wanawake wapo kila sampuli. Ukimtaka wa mawig vumilia maana sio kwamba hukuona wenye nywele natural
 
Niliwahi kukosana na mpnz wangu kwa kuwa kila kitu mwilini mwake ilikuwa feki.nywele feki,kucha feki,mdomo feki, tako feki,masikio feki .Toka hapo cna hamu na akina dada wanaojiremba ,mwanamke natural
 
Mtoa mada naomba nikuambie tuu kujiremba kwetu sio tunataka wakaka wavutiwe nasi bali ni mwenywe kuwa huru na mwili wako, kama kuna sehemu ya mwili huipendi unaifanyia marekebisho kama pesa ipo..
kumbuka kila mtu anapenda awe na id yake lol

HAKUNA MWANAMKE ANAE JIREMBA ILI APENDE YY BINAFSI NA NDIO MAANA PAMOJA NA HAYO MATAKATAKA KUJIWEKA UKIMWAMBIA HUJAPENDEZA ANATOKA MBIO KWENDA KUTOA
 
Mimi napenda NATURAL. Hata upande wa kitoweo cha kuku, huwa napenda wa kienyeji. Labda ndiyo maana nguvu zangu haziwajawahi kutetereka. Nikiona mawigi na makucha ya ajabu ajabu huwa vinani-put-off completely.
hahahahahahaah
 
Hapa chenga tu, hakuna aliejibu uzuri wa mwanamke uko wapi?, kuna uzuri wa rangi eg mweusi, mweupe na awe natural au sio? Unene au mwembamba,, mwenye mguu mzuri hata akivaa nvuo fupi ni yechu yechu au awe na miguu membamba kama yako anakesha kuvaa suruali na sketi au gauni ndefu. Sura nzuri au ni kiasi jiasi ww ni handsome ujiwa nae unampita uzuri wa sura? Yote tisa mm naweza sema kwanza nakuwa sexualy attracted na rangi nzuri lapda mohpe fulani au black beautiy fulani, mwenye miguu mizuri walau anaweza vaa nguo fupi, mwenye akili yani matured suo sista duu.awe na roho nzuri na humble asinione yeye ndo kila kitu. mwenye tabia njema huo ni mfano sasa mm sioni jibu mmejibu nn licha ya saundi. Uzuri upo wapi?
 
Uzuri wa mwanamke anayeujua ni mwanaume pekee na upo kuchwani mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…