Umemaliza mkuu.. 🔥Sifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake.
Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri.
Ki Korean figure fulani hiviView attachment 3433450
wanene watengwe na team penda vi wembambaUnamaanisha wanene wanyongwe??
Ndiyo kg 200Mkuu nawe tukunyema ?
Hapana sisemi wanyongwe ila hawana uzuri wowote
Mimi dereva fuso au scania ......mambo ya kuendesha ist siwezi .....mimi ukinipa scania lazima lifike kileleni mlimani .......ila ist nakuwa mvivu sana gia moja tu nishachoka na packSifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake.
Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri.
Ki Korean figure fulani hiviView attachment 3433450