papag
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 1,171
- 1,733
Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake
Kama uzuri wa mwanamke ungekuwa maumbile yake ya ndani basi wanaume wangeridhika na mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :-
mwanaume hafiki kileleni kwa ubora wa maumbile ila kwa hisia zake.
Hapo ndipo maana ya upendo wa mwanaume hutoweka maana yeye hajui kutofautisha uzuri wa mwanamke na utamu wa mwanamke kwa hakika kwa mwanaume kila mwanamke ni mtamu maana hakuna mwanaume alishindwa kufika kileleni kwa maumbile mabaya

maana yeye huendeshwa na hisia zake wakati mwanamke ambaye yeye ili aweze kufurahia mapenzi ni pale nafsi yake inapokuwa na utulivu maana yake yeye hufuata moyo
wake

Ukiona mwanaume ametulia na mwanamke mmoja ujue kampendea muonekano wake
. Mambo ya maumbile
pamoja na mauno
kama yangemtuliza mwanaume basi kuna wanawake wangekuwa na hakika ya kutosalitiwa ila kwa sasa omba mungu umpate mwanaume atakayevutiwa na jinsi ulivyo kuliko kama atakupenda kwa yaliyoko sirini hawakawiii wanaume.

Kama uzuri wa mwanamke ungekuwa maumbile yake ya ndani basi wanaume wangeridhika na mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :-
mwanaume hafiki kileleni kwa ubora wa maumbile ila kwa hisia zake.Hapo ndipo maana ya upendo wa mwanaume hutoweka maana yeye hajui kutofautisha uzuri wa mwanamke na utamu wa mwanamke kwa hakika kwa mwanaume kila mwanamke ni mtamu maana hakuna mwanaume alishindwa kufika kileleni kwa maumbile mabaya