Uzuri na utamu wa Kitabu sio gamba/cover page,ni content iliyomo ndani na maudhui yaliyoandikwa humo,Cover yaweza kuwa well decorated kwa rangi na nakshi na darizo za kuvutia macho ila Content yote ni udaku...Kama Cover ingekuwa ni kila kitu basi gazeti la Ijuma
a wikienda lingekuwa linatumika kufundishia
Physics Form Six wajibie NECTA...
Ukitafuta mwenzi wa maisha,awe mpenzi/
mme/mke,chonde achana-...na Cover
Page,tumia muda kusoma ndani yake ujue
Content...Ukikurupuka utakumbana na Cover
nzuri sana, well-decorated na Carolite ila
vimeo,utakumbana na Handsome kanyoa O
kubwa na kunukia Gucci lakini kumbe
mchele(shoga)
Chunguza kitabu ulichonacho,kina content?Au
cover zuri ndani udaku??siku njema sana
kwenu -
Nawakilisha