Uzuri wa Dukani...............

Uzuri wa Dukani...............

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
pesa na maduka ya urembo vimesaidia wengi....afu naona kama ana kiashiria fulani hivi......... 005.JPG
 
kila shetani na mbuyu wake(Duuuuh miss makamba)
 
Kuna watu unaweza fikiri huwapendi ila kumbe unawapenda sana ndio maana unawafuatilia maisha yao #Just saying.
OTIS
 
Hiyo smile ya huyo wa kulia ni special kwa ajili ya photo ops.
Atakua ameilia zoezi ile mbaya.
 
Kiashiria---> afya tu imekubali misosi mizuri yenye virutubisho vingi, kapombe kidogo, mazoezi nehi ==>)))
 
huuuh, kitu hiko, nasikia kale ka manager ka pale kanahusika!!
 
Back
Top Bottom