Culture my best [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi nmekuelewa mbona !!!!.Kuna tofauti kati ya uzuri na urembo,
uzuri ni wa asili (natural) na urembo ni kujipamba (artificial) ndio maana kama ulivyosema mazingira humfanya mtu mbaya aonekane mrembo hata kama ni mbaya lakini uzuri wa mtu hua haujifichi hata kama akiwa katika mazingira gani,
Lakini hapo hapo tusisahau uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, wewe unaweza muona fulani mzuri mwingine akamuona ni wa kawaida.
Kuhusu uzuri wa nini mara nyingi hua wa sura, umbo na tabia.
Ni wachache sana ambao wanakua navyo vyote (ila my baby anavyo vyote [emoji7][emoji11] lol)
Tumeelewana best ake.... lol [emoji3][emoji3]Culture my best [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi nmekuelewa mbona !!!!.
Haswaaaaa najua umeelewa kua tumeelewana ......[emoji379] [emoji378] [emoji379]Tumeelewana best ake.... lol [emoji3][emoji3]
Naaam.Haswaaaaa najua umeelewa kua tumeelewana ......[emoji379] [emoji378] [emoji379]
OK sawa bana... You just perfect your baby .Naaam.
iwe mavazi ama vingine vya nje kipi ni sahihi? uzuri upo kwa mtu au uzuri huchagizwa na mapambo, urembo na mavazi? yaani bila hivyo ni vigumu kuona uzuri?Hapo umezungumzia mambo mawili,binadamu na mavazi.
Kubaini nani ni mzuri na nani si mzuri inategemea na vigezo vya mtu (na hapa ndipo tunapotofautiana).
Mavazi yanachangia kuchagiza uzuri ama ubaya wa mtu kutokana na vigezo vyako. Vazi haliwezi kumfanya asiyemzuri kuwa mzuri ndio maana hata ukimvalisha mbuzi shati zuri hawezi kuwa mzuri kama ambavyo angevaa kijana mzuri na akapendeza.
so unamaanisha kwa kiasi kikubwa uzuri tunaouona ni urembo na mapambo mengine ila watu sio wazuri? 😉😉Kuna tofauti kati ya uzuri na urembo,
uzuri ni wa asili (natural) na urembo ni kujipamba (artificial) ndio maana kama ulivyosema mazingira humfanya mtu mbaya aonekane mrembo hata kama ni mbaya lakini uzuri wa mtu hua haujifichi hata kama akiwa katika mazingira gani,
Lakini hapo hapo tusisahau uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, wewe unaweza muona fulani mzuri mwingine akamuona ni wa kawaida.
Kuhusu uzuri wa nini mara nyingi hua wa sura, umbo na tabia.
Ni wachache sana ambao wanakua navyo vyote (ila my baby anavyo vyote [emoji7][emoji11] lol)
Kwa upande wangu uzuri upo kwa mtuiwe mavazi ama vingine vya nje kipi ni sahihi? uzuri upo kwa mtu au uzuri huchagizwa na mapambo, urembo na mavazi? yaani bila hivyo ni vigumu kuona uzuri?
Haha... Mimi siamini eti uzuri upo machoni mwa mtu. Siamini hili hata siku moja kuna watu wazuri kuzidi wengine.
Kitu gani wazuri kuliko wengine? Not serious Mkuu
Sura nzuri....sauti baaaya hii nikasoro
Ngozi nzuri.......makalio shiiida... Makubwa wengine hawataki....flati wengine hawataki
Mwili mzuri.......mambo ya 6x6 harufu mbaya ni kasoro kwenye uzuri wake
Mwili wakuvutia.....ndani shemale, balaaa
Uzuri wa mtu ni macho ya mtu anaye mtazama kwa unique reasons based on individual judgement
Nikuulize swali dogo tu....
Mtaani kwako/shule/jirani hakuna binti ambaye alikuwa anasemekana ni mzuri kuliko wote?
Ukisema no mimi shuleni/chuo/kazini/ wapo na watu tunasema ni wazuri. Wala hatujalala nao.
Leo uje uniambie hawa hapa chini eti uzuri wao upo machoni mwako.
Hahaha unajua nini bro hata hao jamaa wawili kuna watu hawalali kwa ajili yao ndio maana wahenga walisema ukipenda sana hata "chongo utaona kengeza", hao wanaosemwa wazuri wa darasa au wazuri wa department kuna wengine wanawaona kawaida sana wala hawashtuki.Nikuulize swali dogo tu....
Mtaani kwako/shule/jirani hakuna binti ambaye alikuwa anasemekana ni mzuri kuliko wote?
Ukisema no mimi shuleni/chuo/kazini/ wapo na watu tunasema ni wazuri. Wala hatujalala nao.
Leo uje uniambie hawa hapa chini eti uzuri wao upo machoni mwako.
[Hata dunia nzima mseme uzuri upo machoni mimi sitakubali watu wazuri wapo kuzidi wengine.]
Tunaongelea uzuri wa umbo la nje la binadamu.Anayesema mzuri amestate sababu?
Mzuri kwa nini hasa
Uzuri upi unaoungelea ule urembo wa majuwaani?
Naam upo sahihi kabisa, wengi ni mapambo ndio wanaonekana warembo lakin ukiwatazama kwa jicho la tatu looh hakuna kitu kabisa,so unamaanisha kwa kiasi kikubwa uzuri tunaouona ni urembo na mapambo mengine ila watu sio wazuri? 😉😉
Tunaongelea uzuri wa umbo la nje la binadamu.
Huyo kaulizia uzuri na urembo.
Uzuri sio kila mtu ni mzuri kuna wazuri kuzidi wenzao.
Urembo kila mmoja anaweza kuwa mrembo. Binti mzuri hata aavae ngozi katikakati ya waliojiremba ataonekana tu.
Asante.