Uzoefu wangu kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi

Pole mkuu! Kipi kimekuchekesha hapo ndugu..?
ulivyomwita mwenzako pilipili hoho naona stori yake imekukera to the maximum,jamani nimecheka sana

lakini naungana na wewe mkuu,mwenzetu kashakuwa mtumwa wa bidada sasa sijajua kama kashajua hilo au hajui au kajua and he is okay with it.
 
Ha ha mkuu nizoee Wala sijakasirika nina utani mwingi tu siwezi sitaki kuwapa mods sababu ya kunipiga ban hivyo naita watu majina yasiyovunja sheria au yasiyo kukera.. hata wewe mbona ni kilamba mwiko mzuri tu..😂
 
ah okay sawa mkuu nimekupata,but mlamba mwiko maanake nini?
 
Hakuna cha kiberenge hapa, wewe huitwa kenge humu usipotoshe umma!
Mkuu nikikulipoti kwa mods unaban ya siku kadhaa bahati yako mi si kisabengo..😅

Okay weka na hilo kwenye list nawe lako ni mang'oma..😂
 
Huo ndio uhalisia. Kwa kifupi yeye ndio anakua mwanamme wewe ndio unakua mwanamke tena nahisi ni Zaidi ya hivo kabisa
 
Thread yako ina ukweli flani... Hapo kwenye kupangiwa cha kufanya, kuomba ruhusa sijui,,, Ila kukaripia nakataa
 
Perfect, hii sio kwa mwanamke tu hata wewe siku ukiwa nazo nyingi utataka mengi na zaidi ya haya. That's her standards unataka ashuke kukufuata chini???
 
Hahaaa sasa kwa taarifa yako mnaowaacha home ndo wanaocheat kupita maelezo(hiyo Siri kidogo tu nakuibia), sema wenye waume mnaojidai mpo busy bar na kwenye michepuko ukijua Hana option anakusubiri tu wewe, Mara Mia huyo independent hata anawazA kutafuta hela😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…