Uzoefu wangu kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi

Nadhani hata wewe ulikua hupendi ila kuna kitu hasa pesa ndo zilikufanya uwe mtumwa!!!

Ila nature inatueleza kuwa haijawahi tokea kwa kiumbe yeyote mwenye kichwa cha chini akakubali kuwa under control,iwe simba,swala,nyati na viumbe wote uwajuao,...!!

labda kwa fisi jike ndo muongoza familia ila hao wote waliobaki hakuna mwenye elements za kibwege kama zako!!!

Binafsi nitakuweka ktk kundi la fisi maana ni mnyama wa hovyo hovyo kama wewe!!!
 
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato.

Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake yalitengeneza mianya ya rushwa, hii ilimfanya awe anatengeza pesa nyingi za ziada nje ya mshahara. ifahamike hiki kilikuwa ni kipindi cha utawala wa JK, mzee wa Msoga.

Mdada alijiimarisha sana kiuchumi kuanzia kumiliki majumba, magari na biashara mbalimbali.

Sikuwa vizuri kiuchumi wakati nikiwa nae kwenye mahusiano. there was a big financial gap between me and her. Hali hii ilinifanya niwe very loyal to her.

Girlfriend wangu alinizidi kipato licha ya kwamba nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani binafsi na kunifanya nisikose pesa mfukoni.

Hivi ni baadhi ya vitu nilivyojifunza katika aina hii ya mahusiano.

1: Mwanamke wa namna hii huwa very independent and confident. Hapendi umpangie ratiba zake wala kumuingilia kwenye mambo yake. Kama mmeenda kwenye starehe, muache ajiachie mpaka achoke, kwa mfano ukimzuia asiendelee kunywa bia ili mrudi mapema nyumbani atakasirika maana anajua anatumia pesa yake.

2 : Kuwa mvumilivu pale anapopiga story na mashosti zake zinazohusu mikasa yao ya starehe au mahusiano na wanaume wengine. Usije ukaleta kiherehere cha kutaka kuhoji. Atakupiga biti.

3: Kubali kusimangwa, sina hakika kama wote wapo hivi, ila huyu wa kwangu alikuwa ananisimanga hasa akiwa amelewa. Kuna siku wakati tunarudi kutoka kwenye starehe nililazimika kushuka njiani baada ya kushindwa kuvumilia masimango ndani ya gari yake.

4 : Jiamini, kuwa vizuri kimwili na kiakili. Mwanamke wa aina hii hapendi kudate na mwanaume legelege. Yaani uwe legelege kwenye kipato na kimwili?, hapana.
Vaa vizuri, nukia vizuri and don't forget to put your body in good shape by doing different exercises. wa kwangu alikuwa ananiambia kabisa nimekupenda kwasababu upo vizuri kimwili na kiakili. Possess knowledge about certain common things. Angalau uwe unajua baadhi ya vitu kuhusu computer au matumizi ya vifaa vya kidijitali. Be street-smart, usiwe mshamba mshamba.

5: Kubali kukatisha ratiba zako na kufuata ratiba zake. Usitoe excuse pale anapokupigia simu kukutaka umsindikize sehemu. Ukifanya hivyo atahisi unamdharau, jiandae kukaripiwa au kununiwa.

6: Kwenye mapenzi hakikisha unamridhisha yeye kwanza, yaani mpe dozi ya kibabe mpaka moyo wake uridhike na umfanyie vile vitu anavyopenda kufanyiwa kitandani. Usilete utundu wako wa kutaka kufanya vile vitu unavyovipenda wewe. Utamkwaza.

7 :Usipende kuhoji mahusiano yake ya nyuma wala wewe usipende kusimulia mazuri ya EX wako. Atakwazika.

8 :Usimpangie matumizi hata kama unahisi fedha anazotumia zinazidi kiwango. Muache atumie vile anavyotaka. Kumbuka ni zake.

9 : Sifia umbile lake au mavazi yake hata kama unahisi siku hiyo hakupendeza.

10 :Mzawadie zawadi hata kama ina gharama ndogo. ataipokea na ataithamini.

11 :play your part by becoming her comforter during her difficult times. Kuna wakati anaweza kukuelezea changamoto mbalimbali za kazini kwake, biashara zake, ndugu zake au marafiki zake. Usiwe sehemu ya kuzidisha tatizo. Wakati wa mazungumzo msikilize na mwisho uje na masuluhisho sahihi.
Huyo kakununua kama bidhaa kwaajili ya kuiridhisha nafsi yake.

Mwanamke anayekupenda hata akipata hela nyingi atakupa uzipangie matumizi wewe.

Nimewahi kuwa naye ila uhuni ulinifanya nimpoteze yule manzi. Nilitumia hela zake kuwanasa wanawake wengine.

Shame on me
 
Nimeishia hapo kwenye "pyeee!!". Siwezi soma zaidi
Ni wapuuzi hawasikii hawaambiwi. Wanataka mseleleko kwenye mahusiano halafu majukumu yao wanataka kusaidiwa na wanawake, pyeee!!

Wanadhani kuitwa kichwa cha nyumba ni kuwa na kichwa cha chini.

Hawaelewi kuwa mwanaume anaheshimiwa kwa kutimiza majukumu yake siyo kwa kuwa na uume
 
Aah wapi demu hata awe na mpunga siwezi nyenyekeaa..mimi ailete niipige vizur hata siku tukiachana lazima akumbuke na mnaweza rudia gemu!!

Mambo sijui ya anakuambia njoo na wewe unaenda, sijui yuko na hao mashost zake na wewe uwe pembeni..huo muda sina.

Ailete niipige vizur basi life liende hizo mambo za starehe zake atajua yeye.
 
Ni wapuuzi hawasikii hawaambiwi. Wanataka mseleleko kwenye mahusiano halafu majukumu yao wanataka kusaidiwa na wanawake, pyeee!!

Wanadhani kuitwa kichwa cha nyumba ni kuwa na kichwa cha chini.

Hawaelewi kuwa mwanaume anaheshimiwa kwa kutimiza majukumu yake siyo kwa kuwa na uume
Ongeza sauti kidogo.
 
Na mimi wa jinsia Ke naunga mkono hoja, washkaji wanateseka sana jamani, mpaka huruma ila ndiyo hivyo wameganda zao hapo wanakula matunda ya uvumilivu wao.!

Vumilieni tu mazee, mlipenda na kuchagua wenyewe..! Ila sometimes wanaume baadhi yenu muache uphaller akii, hebu kazeni basii.!
Baadhi ya wanaume wanapenda vitonga ndio tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofcz uko sawa mkuu ila mimi niko na mtazamo tofaut kidogo.

Baada ya mapema mwaka huu kuingia kwenye mtikisiko wa kiuchumi na kuwepo kuwepo around home niki strategize mambo upya wife alianza kupitiwa kidogo hiv vitabia vya kike.
She is decent ila ndio hivyo u "Eva" huwa upo tu.
Kwakifupi niliamsaidia kujirud but she had to learn the hardway kwa kitambo kifupi na akil zilimrud na heshima na adabu kwa machozi.

Kwakifupi siwez endeshwa na mwanamke kwenye mahusiano yoyote yale hata niwe financially illiquid kias gan.
 
Huo utumwa wa mapenzi, kazi kwao vinyelamumo wapenda vitonga/marioo
 
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato.

Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake yalitengeneza mianya ya rushwa, hii ilimfanya awe anatengeza pesa nyingi za ziada nje ya mshahara. ifahamike hiki kilikuwa ni kipindi cha utawala wa JK, mzee wa Msoga.

Mdada alijiimarisha sana kiuchumi kuanzia kumiliki majumba, magari na biashara mbalimbali.

Sikuwa vizuri kiuchumi wakati nikiwa nae kwenye mahusiano. there was a big financial gap between me and her. Hali hii ilinifanya niwe very loyal to her.

Girlfriend wangu alinizidi kipato licha ya kwamba nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani binafsi na kunifanya nisikose pesa mfukoni.

Hivi ni baadhi ya vitu nilivyojifunza katika aina hii ya mahusiano.

1: Mwanamke wa namna hii huwa very independent and confident. Hapendi umpangie ratiba zake wala kumuingilia kwenye mambo yake. Kama mmeenda kwenye starehe, muache ajiachie mpaka achoke, kwa mfano ukimzuia asiendelee kunywa bia ili mrudi mapema nyumbani atakasirika maana anajua anatumia pesa yake.

2 : Kuwa mvumilivu pale anapopiga story na mashosti zake zinazohusu mikasa yao ya starehe au mahusiano na wanaume wengine. Usije ukaleta kiherehere cha kutaka kuhoji. Atakupiga biti.

3: Kubali kusimangwa, sina hakika kama wote wapo hivi, ila huyu wa kwangu alikuwa ananisimanga hasa akiwa amelewa. Kuna siku wakati tunarudi kutoka kwenye starehe nililazimika kushuka njiani baada ya kushindwa kuvumilia masimango ndani ya gari yake.

4 : Jiamini, kuwa vizuri kimwili na kiakili. Mwanamke wa aina hii hapendi kudate na mwanaume legelege. Yaani uwe legelege kwenye kipato na kimwili?, hapana.
Vaa vizuri, nukia vizuri and don't forget to put your body in good shape by doing different exercises. wa kwangu alikuwa ananiambia kabisa nimekupenda kwasababu upo vizuri kimwili na kiakili. Possess knowledge about certain common things. Angalau uwe unajua baadhi ya vitu kuhusu computer au matumizi ya vifaa vya kidijitali. Be street-smart, usiwe mshamba mshamba.

5: Kubali kukatisha ratiba zako na kufuata ratiba zake. Usitoe excuse pale anapokupigia simu kukutaka umsindikize sehemu. Ukifanya hivyo atahisi unamdharau, jiandae kukaripiwa au kununiwa.

6: Kwenye mapenzi hakikisha unamridhisha yeye kwanza, yaani mpe dozi ya kibabe mpaka moyo wake uridhike na umfanyie vile vitu anavyopenda kufanyiwa kitandani. Usilete utundu wako wa kutaka kufanya vile vitu unavyovipenda wewe. Utamkwaza.

7 :Usipende kuhoji mahusiano yake ya nyuma wala wewe usipende kusimulia mazuri ya EX wako. Atakwazika.

8 :Usimpangie matumizi hata kama unahisi fedha anazotumia zinazidi kiwango. Muache atumie vile anavyotaka. Kumbuka ni zake.

9 : Sifia umbile lake au mavazi yake hata kama unahisi siku hiyo hakupendeza.

10 :Mzawadie zawadi hata kama ina gharama ndogo. ataipokea na ataithamini.

11 :play your part by becoming her comforter during her difficult times. Kuna wakati anaweza kukuelezea changamoto mbalimbali za kazini kwake, biashara zake, ndugu zake au marafiki zake. Usiwe sehemu ya kuzidisha tatizo. Wakati wa mazungumzo msikilize na mwisho uje na masuluhisho sahihi.
Utumwa huo,sasa Uwanaume wako wewe upo wapi,manake hauna tofauti na wale wanaume wanaotoa huduma ya escort au unapenda kuwa Mario.

Mwanamke awe na hela au hasiwe na hela lazima atambue nafasi yake kama mwanamke na nafasi yako kama mwanaume vinginevyo hakufai.
 
Ukipenda wala hutohisi kama upo utumwani.
Hamna upendo bali unapenda kitongo,ukilemaa kuna siku utachezea makofi na husimfanye chochote.

Hapo unaweza ukakuta unachomiliki wewe ni Korodani na rungu,lkn kila kitu mpaka boxer unanunuliwa na mwanamke.

Hivi wazazi wako wanahabari juu ya udangaji huu unao ufanya.
 
6: Kwenye mapenzi hakikisha unamridhisha yeye kwanza, yaani mpe dozi ya kibabe mpaka moyo wake uridhike na umfanyie vile vitu anavyopenda kufanyiwa kitandani. Usilete utundu wako wa kutaka kufanya vile vitu unavyovipenda wewe. Utamkwaza.

Kwa demu mwenye pesa point namba 6 inahusika sana ,kama nchecheme nchecheme kitandani inabidi Puturu,mundende,kasongo sebene,kiboko ya paulina,mchuzi wa pweza,karanga mbichi,mbegu za maboga,nazi mbata,juice ya tende visikose nyumbani kwako!!
 
Nadhani hata wewe ulikua hupendi ila kuna kitu hasa pesa ndo zilikufanya uwe mtumwa!!!

Ila nature inatueleza kuwa haijawahi tokea kwa kiumbe yeyote mwenye kichwa cha chini akakubali kuwa under control,iwe simba,swala,nyati na viumbe wote uwajuao,...!!

labda kwa fisi jike ndo muongoza familia ila hao wote waliobaki hakuna mwenye elements za kibwege kama zako!!!

Binafsi nitakuweka ktk kundi la fisi maana ni mnyama wa hovyo hovyo kama wewe!!!
Simba kama hana nguvu za kulinda majike, majike yanamkataa, hata kama ameweza kumtoa aliyekua anamiliki hao majike, na hawakubali kupata mimba mpaka wahakikishe ana nguvu za kuwalinda.
Mwanaume kama huna pesa acha kulalamika, tafuta pesa, na tafuta wa size yako, sijaona mwanamke akakimbiliwa na wanaume kwa sababu ana pesa, lazima kukubali uhalisia sio kwenda kama vipofu.
 
Back
Top Bottom