Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,645
- 6,671
Lazma uende naye booss mtaelewana tuu njianiWakuu hivi ile slogan ya kuongozana na mzazi mwenzio hospitali kwa ajili ya kuanza Clinic hii ishu imekaaje naskia bila kuongozana na basi binti awezi pewa huduma je ni kweli??
Na vp kuhusu vipimo vya VVU naskia mnapimwa wote sasa nahitaji kujua majibu yanatolewa kwa style gani?? Wanawapa mkiwa wote au ni vp??
Naomba kujua abc labda inaweza kunipa ujasiri na mwanga zaidi maana nimeshikwa pabaya.
Sijawahi kupima na kama mjuavyo kuna pita pita za hapa na pale watu tunakosea japo nina afya nzr ila swala la kupima tena ukiwa na mwenza ndio kipengelena mbaya zaidi sina maelewano mazuri na binti.
Majibu yanatoka kwa style gani mkuu😁Lazma uende naye booss mtaelewana tuu njiani
Mtaitwa chemba huku wakiwatania na kukupongeza kama baba bora. All in all ni moment muhimu sana kwa mama kijaMajibu yanatoka kwa style gani mkuu😁
Mkuu mi nauliza ile moment majibu yanatoka huwa wanayataje?😁😁😁😁Sasa aende peke yake kwani huo ujauzito aliunywa kwenye maji mkuu ??😂😂😂
Mtaitwa chemba huku wakiwatania na kukupongeza kama baba bora. All in all ni moment muhimu sana kwamama kija
Sheria ya Tanzania inataka majibu ya HIV ya wapenzi wapewe wote wawili,ni lazima sio hiari.Mkuu mi nauliza ile moment majibu yanatoka huwa wanayataje?😁😁😁😁
Aiseee pamoto hapoUkiongozana naye clinic mnapewa kipaumbele kwenye kupata huduma kwa haraka na kuhusu vipimo mnapewa mkiwa wote wawili
Vipimo napata wapi mkuuJipime kwanza mwenyewe,usije ukaenda kukata moto Kwa presha.
Mkuu na kama nikiwa nimeungua ndio ntafafanyaje?Nenda kapime kwanza pekeako ukishaona uko sawa ndo uende na huyo mamsapu wako
Jipange kabisaAiseee pamoto hapo
PharmacyVipimo napata wapi mkuu
Hapo ulipopima watakwambia Cha kufanyaMkuu na kama nikiwa nimeungua ndio ntafafanyaje?