nesto lee 360
Member
- Jul 2, 2016
- 18
- 12
habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Ungesogea mpaka 2m ungechukua canon2425 brand new.imekaa njema.habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Ingelikuwa ni Epson ningekuelezea mwanzo mwisho ila hizo zingine sijawahi kuzitumia ingawa ni mzoefu kwenye hizo kazi kwa mda wa miaka 3habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Epson ninatumia l805 tuuIngelikuwa ni Epson ningekuelezea mwanzo mwisho ila hizo zingine sijawahi kuzitumia ingawa ni mzoefu kwenye hizo kazi kwa mda wa miaka 3
Achana na hayo makitu . Sijui Mazeroksi na maMinolta tafuta Canon IR 2206,2023 kuendelea hutajutahabarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Sifa iwe inaprint color na iwe ina print A3
Vip hauja ipenda, na unaitumia kuprint, nini, T-shert, pich, Cover za CD, au CD, mbona ni nzuri tu,Epson ninatumia l805 tuu
nunua tu kama umeipenda haina tofauti na nyingine, karatasi ni zile zile za kawaida 80, 75 na 70 gsm.habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Sifa iwe inaprint color na iwe ina print A3
Nimeipenda but nikipata tenda kubwa kama kuprint vitabu, vipeperushi kalenda nachukua time kubwaVip hauja ipenda, na unaitumia kuprint, nini, T-shert, pich, Cover za CD, au CD, mbona ni nzuri tu,
Epson ninayo bossNina epson L850 mpaka picha na card sijui matakataka yote unaprint ni mpya sijawai itumia kabisa, nirudishie pesa yangu.
Mara nyingi nilikuwa napata kazi ya kuprint cover za CD na kuprint T.shertNimeipenda but nikipata tenda kubwa kama kuprint vitabu, vipeperushi kalenda nachukua time kubwa
Hii naitimia kuprint Cd, Id, Picha ila kaz kubwa inatake time coz inaprint page moja kwa sekunde 14 approximation page 6 kwa dakka hiyo xerox nimeona kwa dakka naweza print page 25Vip hauja ipenda, na unaitumia kuprint, nini, T-shert, pich, Cover za CD, au CD, mbona ni nzuri tu,
Asante kwenye Tshirt natumia pia japo nina machine zingine kama plotter na heatpress ndo nazitumia sana kwenye tshtMara nyingi nilikuwa napata kazi ya kuprint cover za CD na kuprint T.shert
Upo vizuri mkuu,Asante kwenye Tshirt natumia pia japo nina machine zingine kama plotter na heatpress ndo nazitumia sana kwenye tsht
Epson namba ngapi na beiEpson ninayo boss
Hii ni black and white
ACHA KUJITAFUTIA USUMBUFU MBELENI,
NUNUA CANON IR 2206
UTULIE.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hv l805 inaprint tshirt? How?Vip hauja ipenda, na unaitumia kuprint, nini, T-shert, pich, Cover za CD, au CD, mbona ni nzuri tu,
Epson l805 nilinunua 720k.Epson namba ngapi na bei