Jumanne Mwita JF-Expert Member Joined Nov 18, 2014 Posts 563 Reaction score 1,567 Jan 27, 2024 #1 Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika. Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika. Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,743 Reaction score 22,659 Jan 27, 2024 #2 Jumanne Mwita said: Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon Click to expand... Nina uzoefu wa kutosha, 1. Ili kujifunza ingia hapa | Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) Kwenye hiyo thread utajifunza nini cha kufanya. 2. Iwapo utahitaji ufanyiwe kila kitu hadi delivery mahala ulipo basi ingia hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Karibu
Jumanne Mwita said: Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon Click to expand... Nina uzoefu wa kutosha, 1. Ili kujifunza ingia hapa | Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) Kwenye hiyo thread utajifunza nini cha kufanya. 2. Iwapo utahitaji ufanyiwe kila kitu hadi delivery mahala ulipo basi ingia hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Karibu