Uzoefu kwa tuliopo kwenye ndoa

Uzoefu kwa tuliopo kwenye ndoa

WHY DO YOU ALWAYS FIND SOMETHING OR SOMEONE TO BLAME? No body hurt me! ITS THE TRUTH!

EMBU NIAMBIE NDOA GANI ISIYOKUWA NA SIRI, COVERING, DRESSING AND HIDING OF FACTS? The thing is IM A SMART PERSON I SEE THROUGH PEOPLE but i know better to shush it up, so as to let PEOPLE LIVE A LIE!

THAT IS WHY I SAID WE AND NOT YOU ! Lets face it we are LYING TO EACH OTHER ON THE ACTUAL PACKAGE! WE EVEN DO LIE TO OURSELVES FROM TIME TO TIME,! Mmmmmmh!

marriage aint perfect,never has been,but pondering on the importance ,family and children it's worth it...unless if u aint even planning to get married...
 
vizuri,na nimejifunza kitu,coz watu wengi wanajipa moyo wa kuingia kwenye ndoa wakiamini kasoro ya mwenzake itabadilika au atambadilisha
 
1.Niko kwenye ndoa kwa miaka 6,tuna watoto 2.Mim na waifu tuna furaha na amani mpaka majiran wanatukata jicho.

2.Ilikufikia kuvumiliana ni baada ya kasoro na migogoro mingi.amin ni kupitia issue hizi ndipo tukajuana vizuri.

3.kinacho ondoa furaha ndani ya ndoa ni kuwa na maisha ya kufanya comparison na watu wengine.kila mtu ana safari yake ya maisha.Naweza kukopeshwa gari na ofisi,ukaanza kumuona mumeo hana hadhi kwan hawezi nunua gari.

NOTE: UKIPATA MME&MKE MZURI NDOA TAMU
 
vizuri,na nimejifunza kitu,coz watu wengi wanajipa moyo wa kuingia kwenye ndoa wakiamini kasoro ya mwenzake itabadilika au atambadilisha

True that never expect changes for your to be. Hata kasoro ndogo usiidharau kabisaa
 
1.Niko kwenye ndoa kwa miaka 6,tuna watoto 2.Mim na waifu tuna furaha na amani mpaka majiran wanatukata jicho.

2.Ilikufikia kuvumiliana ni baada ya kasoro na migogoro mingi.amin ni kupitia issue hizi ndipo tukajuana vizuri.

3.kinacho ondoa furaha ndani ya ndoa ni kuwa na maisha ya kufanya comparison na watu wengine.kila mtu ana safari yake ya maisha.Naweza kukopeshwa gari na ofisi,ukaanza kumuona mumeo hana hadhi kwan hawezi nunua gari.

NOTE: UKIPATA MME&MKE MZURI NDOA TAMU
Safi sana aisee
 
malezi tofauti, historia tofauti na mazingira mliyokulia tofauti hivyo kuwa kitu kimoja yapasa kuvumiliana sana.
 
marriage aint perfect,never has been,but pondering on the importance ,family and children it's worth it...unless if u aint even planning to get married...
BUT IT DOESN5 CHANGE THE FACT THAT ITS A HYPOCRITICA AND CONSPIRATORY INSTITUTION! And We are all living a big lie!
 
BUT IT DOESN5 CHANGE THE FACT THAT ITS A HYPOCRITICA AND CONSPIRATORY INSTITUTION! And We are all living a big lie!

Everything in life is hypocritical and conspiratory to some extent unless you live in different planet.
 
Ndoa ni raha sana tena ukiolewa na umpendae,kiukweli naenjoy sana.

He cares,tunashirikiana kwa kila jambo,tunaheshimiana,na muda mwingi especially weekend we spend together,either home or outing,tuna mtoto mmoja,we really enjoy,

Kubwa zaidi kila mmoja anamuelewa mwenzake vizuri

Mungu ni priority katika maisha yetu,we do fellowship kila siky before kulala as a family,every Sunday we attend the church,na kila mmoja anajali ndugu wa mwenzake

Sawa,makwaruzano yapo,ila we do talk,we communicate,kila mmoja anajishusha,na samahani imetawala sana maisha yetu

Sometime tunapitia mambo magumu,hata hela ya kula ndani tunakosa,lakini tunatiana moyo tunavumilia,na tukipita njiani hakuna anaejua tumelala njaa

Ndoa tamu only if umefanya maamuzi sahihi ya kumchagua mwenza

In bed,ndo usiseme,wote tunaridhika,yani ni full kuduuu hadi chumba chetu tuliamua kukitenga kiko mbali na vyumba vingine ili wasisikie kelele zetu

Nawasilisha,maswali yanaruhusiwa

Umenena
 
Back
Top Bottom