Na sisi matajiri hatuwataki nyie masikini maana masikini hafadhiriki wala haaminiki.
Masikin hana hoja ana HAJA na masikini ukimshibisha kwake ni kero na ukimuacha na njaa pia ni kero.ROHO YA MASIKINI INA MAOMBI MENGI SANA YA WATU WAPOROMOKE WAWE KAMA YEYE KULIKO MAOMBI YA YEYE KUNYANYUKA