Uzoefu dhidi ya Shahada

Babu mbaya, halafu ametulia ahami kwenye Meza.

Kialaza kalichokoza balaa na Smash zake, Babu alipoanza Smash ni moto kisha akammaliza kwa kumdondoshea Kialaza breki ukutani.

Kialaza lazima kiuno kimuume siku ya pili, siyo kwa mateso yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…