Uzio wa miti

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,968
Reaction score
828,703
Haupo kwa ajili ya ulinzi.. La hasha.. Bali upo kwa ajili ya kuonesha mipaka, kikomo cha uhuru, umiliki haki miliki na utawala...
Je kwenye maisha yako una uzio? Ama ni free to air kama choo cha jiji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…