Uzinzi ni nini?

Uzinzi ni nini?

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Uzinzi ni nini?

Uzinzi ni kitendo cha mtu aliye kwenye ndoa kufanya mapenzi na mtu yeyote nje na mwenzi wake wa ndoa.

Wazinzi Ni Wanandoa Wanaotoka kingono nje Ya Ndoa Zao.

Uasherati ni nini?

Uasherati ni kitendo cha kuzini anachokifanya mtu ambaye hajaingia katika ndoa.

Waasherati Ni Wale Ambao Hawajafunga Ndoa Wakifanya Ngono Wao Kwa Wao Au Wakifanya Ngono Na Wale Walio Kwenye Ndoa.

Kama kuna mtu yuko katika ndoa anapozini na mtu ambaye hayuko katika ndoa maana yake mzinzi na mwasherati wanakutana kuzini.

Aliye kwenye ndoa anapotoka nje ya ndoa yake kingono ni mzinzi na mtu ambaye hajaingia kwenye ndoa anapozini huyo ni mwasherati.
Kitendo wanachokifanya wazinzi au waasherati kinaitwa uzinifu au zinaa.

Biblia iko wazi sana kwamba uzinzi na uasherati ni dhambi na dhambi hiyo mtu asipoitubia na kuacha anaweza kuishi jehanamu milele.
1 Kor 6:9-11 '' Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa MUNGU? Msidanganyike; WAASHERATI hawataurithi ufalme wa MUNGU, wala waabudu sanamu, wala WAZINZI, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana YESU KRISTO, na katika ROHO wa MUNGU wetu.''
 
Ungetufafanulia na waabudu sanamu ni wepi mkubwa Wa Kazi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzinzi ni nini?

Uzinzi ni kitendo cha mtu aliye kwenye ndoa kufanya mapenzi na mtu yeyote nje na mwenzi wake wa ndoa.

Wazinzi Ni Wanandoa Wanaotoka kingono nje Ya Ndoa Zao.
Upo sawa mtumishi,hata sisi waamini tunajua hivyo lakini ikumbukwe ya kwamba wakati mwingine tulipewa na vitu ambavyo vilileta vitisho ili watu watengeneze nidhamu ya kutotenda mabaya lakini havina ukweli.mfano hiyo Jehanam uliyosema kwamba wazinzi na waasherati watatupwa huko milele.mtu yupo Mpwapwa Dodoma au Uyui Tabora ataendaje kutupwa Jehanamu?

Ikumbukwe ya kwamba Jehanam ilikua ni kijiji pembezoni mwa Israel,kijiji chenye shimo kubwa wanakotupa takataka na kuzichoma moto,hata miili iliyouawa nyakati hizo za miaka mingi ilitupwa humo.sasa sipo hapa kupotosha neno ila kunifijirisha kwa nini jambo hili lilipenya kwenye fikra za watu hasa watu wa Africa hii

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Upo sawa mtumishi,hata sisi waamini tunajua hivyo lakini ikumbukwe ya kwamba wakati mwingine tulipewa na vitu ambavyo vilileta vitisho ili watu watengeneze nidhamu ya kutotenda mabaya lakini havina ukweli.mfano hiyo Jehanam uliyosema kwamba wazinzi na waasherati watatupwa huko milele.mtu yupo Mpwapwa Dodoma au Uyui Tabora ataendaje kutupwa Jehanamu?ikumbukwe ya kwamba Jehanam ilikua ni kijiji pembezoni mwa Israel,kijiji chenye shimo kubwa wanakotupa takataka na kuzichoma moto,hata miili iliyouawa nyakati hizo za miaka mingi ilitupwa humo.sasa sipo hapa kupotosha neno ila kunifijirisha kwa nini jambo hili lilipenya kwenye fikra za watu hasa watu wa Africa hii

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Wakuu hapo nimeelewa kwa nini ameweka mafungu hayo,
 
Watu wengi huwa wanafikiiri dhambi ni uzinzi tu na uashetati wanasahau dhambi nyingine!

Anyway, kibiblia au kwa Mungu dhambi ya uzinzi/uasherati ina tafsiri pana zaidi ya hii wanayoijua watu!
Kwa Mungu kuabudu miungu mingine na kumuacha yeye ina tafsirika kama dhambi ya uzinzi/uasherati!
Rejea habari za wana wa Israel soma kitabu cha kutoka utaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom