Uzinzi ni dhambi ya mauti...

Target ni tundu lile lile , haya mambo ya uzinzi sijui ndoa ni kukosa kazi
 
Hili suala la ndoa limekuwa changamoto! Mbinguni hakuna kuoa Wala kuolewa na Wala hutaulizwa ulioa au kuolewa na wangapi??
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Barikiwa pia mkuu.
 
Mkuu, kama ulichakata mbususu zaidi ya 500, unastahili kutubu kabisaa!

Ujumbe: Tuchakate mbususu kwa hasira kali sana [emoji41]
 
Hizo ni propaganda za westerns kutukwamisha tusizaliane. Haiwezekani tendo la kuunganisha jinsia mbili ili zitoe kiumbe kipya liwe tendo baya.
Hili jambo huwa linanifikirisha sana,,,,, Huwa nawaza zile jamii za Africa ambazo hazija accept hii culture ya western,,,,ina maana wale wote ndio hawataona mbingu,,???? au dhambi zao zitaanza pale siku wakienda wakahubiriwa..???

Linafikirisha sana hili jambo,,,Mungu angetaka iwe hvo nadhani angefanya kama alivyofanya kwenye Maziwa ya Mwanamke,,,Yanatoa maziwa mara tu Mwanamke anapojifungua mtoto,,,...Na hvyo kidume ilitakiwa mashine isimame pale tu wakati sahihi ukifika...

Ni mtazamo tu Wakuu
 
Mkuu nyie si ndo mnawafungaga watu na sheria zenu halafu unasema umeokoka, umekwepa uzinzi lakini dili la kumteketeza mtu kupitia sheria unafanya.
 
Umeuliuliza maswali mazuri sana mkuu. Huku kwenye Sheria zetu tunasema "ignorance of the law is not a defence", yaani KUTOKUJUA SHERIA SIYO UTETEZI UNAPOTENDA KOSA LOLOTE LA JINAI. Sababu ni kwamba, mchakato wa utengenezaji wa Sheria fulani unashirikisha wananchi kama wadau wa Sheria hiyo; practically, hili halifanyiki (yaani wananchi hawashirikishwi kama tunavyoaminishwa).

Sasa kiimani, upo mstari kwenye Biblia (Kitabu cha Warumi), mstari unaosema kwamba wale ambao hawakuijua kweli (hawakuhubiriwa) hawatahesabiwa dhambi, lakini wale waliohubiriwa watahukumiwa kwa dhambi zao, kama ambavyo tunawajibishwa na Sheria ikiaminika kwamba tumeshirikishwa kwenye mchakato mzima wa utungwaji wake.

Nadhani nimekujibu kwa sehemu. Nakaribisha mawazo mengine mbadala....
 

Kuzini sio kukufuru Mungu Kaka,hapo umetupiga,kukufuru Mungu ni Ile Hali ya kutaka kujivika "cheo,au sifa" ya Mungu.
 
Kwanza Yesu mwenyewe alikuwa anakunywa divai wewe nani unakemea kulewa, kuwa na wanawake wengi bibilia haijazuia imeruhusu tuwaoe wwngi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…