Uzinduzi wa Skuli Mpya ya Kisasa Bopwe Pemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa Skuli Mpya ya Kisasa Bopwe Pemba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Mar 4, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Written by administrator // 03/03/2011 // Habari-Picha // 5 Comments

  [​IMG] #gallery-1 { margin: auto; } #gallery-1 .gallery-item { float: left; margin-top: 10px; text-align: center; width: 50%; } #gallery-1 img { border: 2px solid #cfcfcf; } #gallery-1 .gallery-caption { margin-left: 0; }
  [​IMG][​IMG]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein,akikata utepe na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe,Alfonso Lenhardt,kuashiria uzinduzi wa Skuli ya Sekondary ya Bopwe,wilaya ya wete kaskazini Pemba jana.
  [​IMG]Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt akiwapongeza wasoma utenzi Zuhura Khamis na Samira Bakari ,walipohani utenzi wao wakati wa sherehe za uzinduzi wa Skuli Mpya ya kisasa ya Bopwe,wilaya ya wete,Jimbo la Gando jana. [​IMG]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein,akizungumza na wazee na wanafunzi na wananchi wa Jimbo la Gando,wakati wa sherehe za uzinduzi wa Skuli mpya ya kisasa ya Bopwe ,Jimbo la Gando,wilaya ya Wete jana,iliyojenga kwa Msada wa Serikali ya Marekani na Serikali ya mapinduzi Zanzibar.
  [​IMG]Baadhi ya wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Jimbo la Gando Wilaya ya Wete wakiwa katika Sherehe za Uzinduzi wa Skuli Mpya ya Kisasa ya Bopwe,iliyoje kwa msaada wa Serikali ya Marekani,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alipokuwa akizungmza na wananchi baada ya Uzinduzi rasmi jana. [​IMG]Mwalimu Viwe Omar Sharif akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Marekani Nchini Alfonso Lenhardt ,walipotembelea darasa la wanfunzi bad ua ufunguzi rasmi wa Skuli ya Bopwe jimbo la Gando jana.
  [​IMG]Baadhi ya wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Jimbo la Gando Wilaya ya Wete wakiwa katika Sherehe za Uzinduzi wa Skuli Mpya ya Kisasa ya Bopwe,iliyoje kwa msaada wa Serikali ya Marekani,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alipokuwa akizungmza na wananchi baada ya Uzinduzi rasmi jana. [​IMG]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein,akizungumza na wazee na wanafunzi na wananchi wa Jimbo la Gando,wakati wa sherehe za uzinduzi wa Skuli mpya ya kisasa ya Bopwe ,Jimbo la Gando,wilaya ya Wete jana,iliyojenga kwa Msada wa Serikali ya Marekani na Serikali ya mapinduzi Zanzibar.
   
Loading...