Uzinduzi wa Maonyesho ya picha ya Mwalimu Nyerere

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,503
7,107
Katika uzinduzi wa Maonyesho ya picha ya Mwalimu Nyerere yanayofanyika maeneo ya sayansi apa Dar es salaam Tanzania
 
wewe ni mdau unayesababisha ukilaza uendelee...unawekaje bango la maonesho ya picha bila hata kuweka picha ya mfano?
 
Wapo watu wengi wakina Issa Shivji, Mwinyi, Salim Ahmed Salim, Kingunge Ngombale Mwiru na wengineo wengi
 
Back
Top Bottom