mkuu maendeleo wao wanayasubiri, na sio kuyatafuta!Hivyo vikabila ni vya wapumbafuuu tu hawanaushawishi wa Maendeleo
kwanini unahisi CDM wanatakiwa wafikirie watashindwa kulibeba hilo jimbo? Remember its not a good candidate that wins, but its a good campaign that wins. CDM wanamapafu ya mbwa katika campaigns zao. Wanajua namna ya kushambulia jukwaa na ndo mana katika chaguzi ndogo (hasa za ubunge) pasipo hila, always CDM wanaibuka kidedea, Sitashangaa sana CDM wakichukua Chalinze mana naelewa kuwa hata wanachalinze na wao pia Utawala wa kichief wameuchoka. Haina tofauti sana na kusema kuwa hapo Chalinze hakuna anayeweza kuwaongoza isipokuwa ukoo wa Fulani...Hivi Chadema kweli wanaamini watashinda Chalinze.
Kwa mtu yoyote mwenye akili timami anajuwa duhahiri Ridhiwani ndio atatakuwa mbunge wa chalinze kinachofanyika sasa ni political process tu.
Huyu jamaa anawajua vzr sana CDM na mziki wake ila ameamua kujitoa kumbukumbu. Ngoja kesho tuwrap mambo hapo Kalenga afu kikosi kazi kishuke hapo chalinze.mapema mno mjomba subiri kwanza mziki wa chadema dogo mchafu sana anaweza asiione njia ya dodoma.
CCM haijazindua kampeni katika jimbo la Chalinze.
Lazima ufahamu kuanza kwa kampeni na kuzindua kampeni ni vitu viwili tofauti.
Kampeni za uchaguzi wa mbunge kupitia CCM katika jimbo la Chalinze zitazinduliwa na Katibu Mkuu wa CCM taifa.
Hiki kiwanda cha BAVICHA ambacho kazi yake ni kuzalisha uwongo, majungu na uzandiki kilichoko mtaa wa Togo na makao makuu yake ambayo yako mtaa wa Ufipa kiko mbioni kukosa malighafi baada ya uchaguzi wa jimbo la Chalinze utakapofanyika tarehe 06/04/2014.
kwa mtu yoyote mwenye akili timami anajuwa duhahiri ridhiwani ndio atatakuwa mbunge wa chalinze kinachofanyika sasa ni political process tu.
Kwani baba yake ni msafi? Ridhiwani is only awaiting pm. utaki unaacha.mapema mno mjomba subiri kwanza mziki wa chadema dogo mchafu sana anaweza asiione njia ya dodoma.
Waswahili safari hii CDM itawaelimisha hivyo hivyo japo kuwa wajinga ni wengi na wamekumbatia dhiki na hawataki kuziachia. Tutaenda nao hvyo hivyo kibishi.
uko bar nini brother matola? Hebu andika vizuri basi
kwanini unahisi CDM wanatakiwa wafikirie watashindwa kulibeba hilo jimbo? Remember its not a good candidate that wins, but its a good campaign that wins. CDM wanamapafu ya mbwa katika campaigns zao. Wanajua namna ya kushambulia jukwaa na ndo mana katika chaguzi ndogo (hasa za ubunge) pasipo hila, always CDM wanaibuka kidedea, Sitashangaa sana CDM wakichukua Chalinze mana naelewa kuwa hata wanachalinze na wao pia Utawala wa kichief wameuchoka. Haina tofauti sana na kusema kuwa hapo Chalinze hakuna anayeweza kuwaongoza isipokuwa ukoo wa Fulani...
Kampeni zimeanza lakini kwa upande wa CCM, hazijazinduliwa rasmi.kwanza chadema kote is right kwamba watu ni wachache naomba unifafanulie mtu akisema shule hii leo imezinduliwa anakuwa anamaanisha ndio inakuwa imeanza au inafungwa ???
Maandishi yangu utayasoma siku ya matokeo. Hivi kwa akili yako Jk atakubali Prince aangushwe.
Kampeni zimeanza lakini kwa upande wa CCM, hazijazinduliwa rasmi.
Sasa hapa huelewi nini?. Au wewe ulitaka mgombea ubunge kupitia CCM, asiongee lolote au asifanye chochote mpaka kampeni izinduliwe rasmi?.
Siwezi kukusaidia zaidi. Kwa watu wanaofahamu taratibu za CCM kwenye kampeni watafahamu vizuri ninachokiandika.
Mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za CCM Chalinze umedoda.Hamasa kubwa iliyofanywa kwa kutumia magari ya matangazo na mashangingi imepata mwitikio mdogo.Mbaya zaidi Mvua kubwa inanyesha muda huu na kuzima kabisa ndoto ya kupata wahudhuriaji angalao wachache wa kusikiliza hotuba za ufunguzi.CCM wanafanya mkutano wao eneo la Miono ambapo ni nyumbani kwa Mbunge aliyetangulia Said Bwanamdogo.
Wazigua na wa Kwere wenye msimamo wa wastani wamesusia mkutano huu kwa kuwa hawaridhishwi na mazingira ya kifo cha Mbunge wao ambaye anaaminika kuwa alifanyiwa hujuma kwa sababu za kisiasa ili mtoto wa mwenyekiti wa chama arithi jimbo aliloshikilia baba yake kwa sasa kabla ya baba yake kuondoka madarakani.
Pia hoja kubwa ni kuwa baba yake mgombea wa CCM alikua Mbunge kwa muda mrefu na hakufanya kitu,iweje Said Bwanamdogo aliyejitahidi miezi 12 ya kwanza kufanya kazi za maendeleo akwamishwe na wakubwa na kisha kumuondoa kabisa duniani halafu leo aibuke mtoto wa Mwenyekiti na kutoa ahadi kuwa atamalizia ahadi za Marehemu Said BwanaMdogo? Wazigua na Wakwere wenye msimamo wa wastani wanasema hii ni laana kwa mujibu wa mila na tamaduni zao.