Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
IGWE!!?Ndo nani huyu
Ni mkubwa sana huko Nigeria na hapa tz
IGWE!!?Ndo nani huyu
Umeniwahi
Umeniwahi
Hivi ndivyo ninavyofikiria: Siku kumi kabla ya uchaguzi mkuu.Mtandao mpya wa simu unazinduliwa. Watanzania wengi wanailalamikia sana mitandao iliyopo; Voda, Tigo, Airtel n.k. Wapo wengi watakaopenda kujiunga na mtandao mpya: Halotel.
Ukinunua line ya mtandao lazima ujiandikishe. Katika kujiandikisha wapaswa kutoa kitambulisho. Mojawapo ya kitambulisho kinachokubalika ni kile cha kupigia kura. Kwa hiyo mteja mpya wa mtandao atatoa kitambulisho chake cha kupigia kura. Na uchaguzi ni siku kumi au tisa baada ya kununua line mpya. Konekti dots hapo.
Naomba kama unataka kununua line ya mtandao wowote, fanya hivyo baada ya uchaguzi.
Wapo watakaonielewa sana na wapo watakaotoka kapa kwenye thread hii.
Nimesikia huu mtandao ni wa CCM.
Na cha ajabu wamejenga ofisi kila mkoa hata huduma hawajaanza kutoa.
Kwa mkoa wa pwani nadhani hata wateja 200 hawajafikisha ila wana ofisi moja matata sana. Hata hawa kina voda na tigo hawana.
Umetumwa na mtandao gani? Wakati wa uchaguzi kuna hitaji mkubwa la mawasiliano ila hawa akina rostam wanatukamua ili tuchangie Kampeni za Edo bila kutaka. Ujio wa kampuni mpya umewasitua bila shaka. Kusajiri line tunatumia photocopy vitambulisho tunabaki nacho. Hoja ni biashara si uchaguzi.Hivi ndivyo ninavyofikiria: Siku kumi kabla ya uchaguzi mkuu.Mtandao mpya wa simu unazinduliwa. Watanzania wengi wanailalamikia sana mitandao iliyopo; Voda, Tigo, Airtel n.k. Wapo wengi watakaopenda kujiunga na mtandao mpya: Halotel.
Ukinunua line ya mtandao lazima ujiandikishe. Katika kujiandikisha wapaswa kutoa kitambulisho. Mojawapo ya kitambulisho kinachokubalika ni kile cha kupigia kura. Kwa hiyo mteja mpya wa mtandao atatoa kitambulisho chake cha kupigia kura. Na uchaguzi ni siku kumi au tisa baada ya kununua line mpya. Konekti dots hapo.
Naomba kama unataka kununua line ya mtandao wowote, fanya hivyo baada ya uchaguzi.
Wapo watakaonielewa sana na wapo watakaotoka kapa kwenye thread hii.
IGWE!!?Ndo nani huyu
Umeniwahi
Hivi ndivyo ninavyofikiria: Siku kumi kabla ya uchaguzi mkuu.Mtandao mpya wa simu unazinduliwa. Watanzania wengi wanailalamikia sana mitandao iliyopo; Voda, Tigo, Airtel n.k. Wapo wengi watakaopenda kujiunga na mtandao mpya: Halotel.
Ukinunua line ya mtandao lazima ujiandikishe. Katika kujiandikisha wapaswa kutoa kitambulisho. Mojawapo ya kitambulisho kinachokubalika ni kile cha kupigia kura. Kwa hiyo mteja mpya wa mtandao atatoa kitambulisho chake cha kupigia kura. Na uchaguzi ni siku kumi au tisa baada ya kununua line mpya. Konekti dots hapo.
Naomba kama unataka kununua line ya mtandao wowote, fanya hivyo baada ya uchaguzi.
Wapo watakaonielewa sana na wapo watakaotoka kapa kwenye thread hii.
UKAWA kuanza kutafuta kila aina ya sababu ni dalili za kushindwa, natanguliza pole kwenu
Nyie mnajiita watoto wa mjini halafu hamumfaham INGWE ni nani siriasi? Kusema ukweli hata mm sijamfaham
Kwa Nigeria Igwe ni mfalme wa kingdom, sasa endelea kukonekti doti kulingana na maudhui ya thread.