Hakuna kitu, mtaniambia! Hakuna anayesema ukweli maana wanaogopa kumwambia kuwa Mh. tupitie hapa huku kuna miiba!Siku ya leo Rais Dr. John Magufuli atazindua kituo cha call centre kwaajili ya kuleta ufanisi wa Utoaji huduma kwa jeshi la polisi hasa pale panatokea matukio ili jeshi liwezi kupata taarifa na kutoa huduma haraka iwezekanavyo.
Jambo muhimu hapa ni kuangalia je serikali wamejaribu kuangalia changamoto zinazowakabili polisi husani makazi ya polisi? Kwani niukweli kwamba yawezekana yawezekana serikali ikaweka miundombinu bora sana lakini bila kungalia changamoto hizi yawezekana jitihada hizi zisizae matunda hasa kumuhudumia mwananchi.
ha ha ha ha.... ama kweli yamewafika hapaaa!!!. yaan hakuna lolote linaweza fanywa na serikali wapinzani waka appreciate. sasa vituo ndo vinafunguliwa we ushaanza kusema hakuna kitu!.. kweli mwenye husda, hata kama unacheza kwenye maji atakwambia unamtimulia vumbi.Hakuna kitu, mtaniambia! Hakuna anayesema ukweli maana wanaogopa kumwambia kuwa Mh. tupitie hapa huku kuna miiba!
History speaks for itself. Ni sheria ya historia, inatuonyesha hivyo! In addition to that, the current trend of governance dictates that!ha ha ha ha.... ama kweli yamewafika hapaaa!!!. yaan hakuna lolote linaweza fanywa na serikali wapinzani waka appreciate. sasa vituo ndo vinafunguliwa we ushaanza kusema hakuna kitu!.. kweli mwenye husda, hata kama unacheza kwenye maji atakwambia unamtimulia vumbi.
Siku ya leo Rais Dr. John Magufuli atazindua kituo cha call centre kwaajili ya kuleta ufanisi wa Utoaji huduma kwa jeshi la polisi hasa pale panatokea matukio ili jeshi liwezi kupata taarifa na kutoa huduma haraka iwezekanavyo.
Jambo muhimu hapa ni kuangalia je serikali wamejaribu kuangalia changamoto zinazowakabili polisi husani makazi ya polisi? Kwani niukweli kwamba yawezekana yawezekana serikali ikaweka miundombinu bora sana lakini bila kungalia changamoto hizi yawezekana jitihada hizi zisizae matunda hasa kumuhudumia mwananchi.
Wito wangu kwa serikali ni kuangalia changamoto hizi za jeshi la polisi hasa kwa kuboresha makazi yao lakini pia ikumbukwe kwamba kuboresha kazi ya Jeshi sio tu kwa mkoa wa Dar es salaam bali iwe ni kwa nchi nzima hasa mikoa ya pembezoni.
Mabadiliko hayaepukiki kutokana Mabadiliko ya duniani ya technology.
Intelijensia si kabla ya tukio??jiongezeni nyie UKawaCall center ya nini wakati kuna taarifa za kiintelijensia?
Ni kweli, History picks for itself. wapinzani hupinga kila kitu hata kama hawana uhakika na maneno yao. alaf wwakiwa prove wrong wanaingia mitini. mfano, ''walisema mradi wa mabasi yaendayo kasi hauwezi kufanikiwa, serikali imetutia hasara kujenga mabarabara yasiyo na faida''. mradi umeanza na una progress nzuri sasa wameingia mitini. huwezi kuwasikia wakizungumzia.History peaks for itself. Ni sheria ya historia, inatuonyesha hivyo! In addition to that, the current trend of governance dictates that!
Kweli wewe ndio kilazaa.Intelijensia si kabla ya tukio??jiongezeni nyie UKawa
Ndio maana tunatoa wito kwa serikali ilikusudi pamoja na maboresho hayo ya Jeshi la polisi kwenye miundombinu na swala makazi ya polisi lipewe kipaumbeleKwa hiyo ulifikiri hizo changamoto wewe ndiyo unazifahamu na Serikali pamoja na Vyombo vyake vya Usalama havifahamu?
Ndio tabia yao. Na ukijaribu kuwaletea noma tu unapewa kesi ya uhalifu.Kisu cha ngariba, umeiona hiyo!
Kuna siku nilipiga simu polisi kuwa mtuhumiwa wa tukio nimemuona, waje!
Eti jamaa ananiuliza kama nna hela ya mafuta!
Hii nchi ni ya kipekee bwana!
Intelijensia si kabla ya tukio??jiongezeni nyie UKawa