Habari,
wote wanajf nawakaribisha katika UZINDUZI wa album mpya yetu ya CORNERSTONE GOSPEL SINGERS
itafanyika pale Kijitonyama TAG siku ya Jpili tarehe 25/11/2012 kuanzia saa 8 mchana,
NAWATEGEMEA SANA KWA UJIO WENU KARIBUNI SANA KAMA MTASHINDWA KUPAFAHAMU VIZURI
WASILIANA NAMI KWA NAMBA HII 0784 960517
NYOTE MNAKARIBISHWA