Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Hilo daraja ni jipya au huoni wewe!!Huo utani sasa.uzinduzi wa daraja au kakivuko tu kwa wapitanjia kwa miguu may be na baiskel labda na bodaboda!!!
Ametimiza ahadi yake.Hilo daraja ni jipya au huoni wewe!!
Tena ni la kisasa
Ndo daraja lenyewe hilo, ujenzi wa kiwango cha miti. Ccm oyee.Huo utani sasa.uzinduzi wa daraja au kakivuko tu kwa wapitanjia kwa miguu may be na baiskel labda na bodaboda!!!
Hakuna Daraja hapo ni kisaidizi cha kienyeji tu hicho cha kuvusha watu wa pande hizo mbili.Hilo daraja ni jipya au huoni wewe!!
Tena ni la kisasa
Utatumbuliwa kwa kukanusha mkuuHakuna Daraja hapo ni kisaidizi cha kienyeji tu hicho cha kuvusha watu wa pande hizo mbili.
Utatumbuliwa kwa kukanusha mkuu
Hakivushi watu, bali wanavuka wenyewe!!!Hakuna Daraja hapo ni kisaidizi cha kienyeji tu hicho cha kuvusha watu wa pande hizo mbili.
Huyo ni mbunge wa ccm.Nchi gani hiyo
Makofi kwa mkuu tafadhali......
Watu hawana aibu kabisa.Makofi kwa mkuu tafadhali......
Utaambiwa yametumika mamilioni kutengeneza daraja hilo.....na mamilioni ya sherehe za uzinduzi..!
Cha ajabu jamaa anaweza simama na kuomba kura huku akijinadi kawajengea daraja na watu wanampa kuraMhmm hii ngumu kumesa.