Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,755
Yaaaas!Asante waambie hao, Samsung for life.
Yaaaas!Asante waambie hao, Samsung for life.
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.
Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
Yeah,lakini kwa ubora wako vizuri kwa kweliKinachoniudhi kwenye samsung unanunua gharama leo baada ya miezi 3 inakua imeshuka bei vibaya atleast Iphone kidogo zinakua hazijashuka sana.
nabakia na hii samsung kingstone 3Halafu wewe unabaki na hiyo tecno?
Hivi ya bei ghali ni Tsh ñgapi?
hiyo hiyo ni £1500 Mkuu hivi unaweza, kulinganisha iPhone na HUAWEI kwasasa,
iPhone Zilikua Zamani tu, iPhone nayo ni simu, ndio uanze na kujimwambafai
Yeah,lakini kwa ubora wako vizuri kwa kweli
iPhone ni kuanzia 7 plus na kuendelea nyie wengine chini ya apo ni sawa mnatumia itel na tecno na baada ya mifuko ya rambo kufungiwa tunaomba na iPhone 6 pia sifungiwe maana zimekua nyingi mpka hadhi ya iPhone inasahaulika
Mimi siwezi tumia,out dated phone mkuu,huu ni ulimwengu wa HUAWEI simu zenye camera, kali. Saivi simu ni camera, iPhone ndio zinaingia bongo ndio maana ushamba mwingi lkn kwa, wenzetu iPhone hazitumiki kivileeee
Yaani iphone 6 ndo unatupigia kelele humu aise jiheshimu basiMambo ya iPhone haya


Safii! Ngoja tujimwambafai sisi iphone zetu
Sent from my iPhone X using jamiiforums
kweli mkuu wabongo weng wanatumia iphone za zamani simu ya mwaka 2015 ndo nitumie hapana atleast kuanzia iphone x hayo mengne mataka taka tuuMimi siwezi tumia,out dated phone mkuu,huu ni ulimwengu wa HUAWEI simu zenye camera, kali. Saivi simu ni camera, iPhone ndio zinaingia bongo ndio maana ushamba mwingi lkn kwa, wenzetu iPhone hazitumiki kivileeee
af unakuta una iphone 5 ya laki na nusu, simu ni taste ya mtu.. mtu nina Samsung au Google pixel ya million moja af wewe mwenye iphone 6 ya 250,000 unataka jikompea naye... nna iphone 6 mbili geto ata sizitumii...
iphone ni kwanzia iphone 8 plus, iphone Ten na eleven... hauna hizo shut up hizo ni tecno zilizochangamkaDaah! Aisee huyo mzee ana balaa!kuna mzee ana simu ina line 5 zote zinafanya kazini nzito balaa na ina antenna zile kama kidole
Sent using Jamii Forums mobile app