Mkuu mm wa KISHIMUNDU Kule mararo boss pande za KIFUNI Kwa SENGELELAMimi ntatoa Bus la bure kwa wachaga wenzangu wa Kishimundu.
Utawauwa hasa Warombo.Naona hawa jamaa wametutenga kabisa, itabidi tutangulie tuweke magogo kuanzia Hedaru, Makanya na Same ili wasipite huko kwao.
Sisi ambao ni wapare mbona hatupo kwenye hiyo list yako ?Wale wa machame,kibosho,marangu,rombo,uru na vijiji vyote tukutane hapa!
Na kama kuna mwenzetu kaishiwa nauli tupange jinsi ya kumchangia sababu lazima wote tuende kule tukapongezwe tupewe mabaraka!
Ili tukirudi mwakani tulipe kodi vizuri
Ekaaa wooose
Nisubiri twende woteMi naenda wiki ijayo
Waambie pia 2020 wasisahau kwenda na MEMBENisubiri twende wote
Usijali! Nakukatia na tiketi kabisaNisubiri twende wote
Wewe kijana mdogo acha kuniota ota wewe
Mizimu itakumaliza
Wamasai sasahivi ngigwana inakutana Ngaramtoni. Ng'ombe tano watachinjwa na kuchomwaNgoja na Mimi nikaanzishe wa Wamasai!
Sisi ambao ni wapare mbona hatupo kwenye hiyo list yako ?
Hahahaaaa kumbe una mizimu???Siachi kukuotaWewe kijana mdogo acha kuniota ota wewe
Mizimu itakumaliza
Maruani, mizimu, mashetani you name it walahiHahahaaaa kumbe una mizimu???Siachi kukuota