Mbona hizo ni salad salad tu haziongezi kituUzito uliongezeka
Maalim ally naona umeanza tabia mbaya ya kula migahawani.View attachment 1082617
¼Chicken & Steak peri peri
View attachment 1082619
Wallahi nimevila kama sivijui
Mkuu niko mbali, siruhusiwi kushika jikoMaalim ally naona umeanza tabia mbaya ya kula migahawani.
Jiko lako linafanyiwa ukarabati nn
Nkajua upo kwenye ukarabati wa jiko, labda waweka mables na tilesMkuu niko mbali, siruhusiwi kushika jiko
South Africa right, but its in MooiRivier MallSouth Africa hii kama unaenda Wit bank? Right?