Ebhana eeheeee!!!!
mwenza utakua kibonge sana punguza kula manyama
Swezi kushindwa unanjua mim.Karibu
Najua apa ata kuonja utashindwa
Bado hujakata
Hizi nyumba ndogo zinabalaaa
Nimetamani nyama na ile coke kuleeee
Haha huu msemo unanifurahishaga kweli eti hatuli kushiba tunakula kumalizaWw mwenyewe inaonekana mwanaume wa Dar, sasa hicho tuwali unatuona twingi?
Btw naona picha nyingi ni za chips yai , mleta mada badilisha heading na iwe " Uzi wa vyakula vya Dar"
Sisi wa mikoani tunakula kumaliza na sio kushiba.
Badala ya kumpa zawadi ya nail cutter wewe unakazi ya kuzoom tuImebidi nizoom nione kama ushakata kucha
Mamaa hii ya ukweli ukweli au ya kudownload?
Naona unafwata nyayo za mshana