Hizo chokoro umepika mwenyewe
YapHizo chokoro umepika mwenyewe
Dooh ππ»ππ»ππ»Hongera
πDooh ππ»ππ»ππ»Hongera
Siipend hiyo mboga πππππ
Hujalazimishwa uile sasaSiipend hiyo mboga ππππ
Nataman mlazimisha kila mtu asiipende π π πHujalazimishwa uile sasa
Tumetofautiana mkuu ππNataman mlazimisha kila mtu asiipende π π π
Tuko wengi π πππππnilidhani peke angu ndo nafanyaga diet babaishi
Hautuwezi!!!!Nataman mlazimisha kila mtu asiipende π π π
Jumapili nakuuuula π πTuko wengi π π
Mf unipe hizo ndizi zako na pilau....lazima tumbo liniume kidogo. π€
Yaani naelewa basi tuπTumetofautiana mkuu ππ
Kinaishia juu juu ila ndo nimeshajizoesha.βΊοΈhivi kipimo iko cha msosi kinafanikiwa kweli kufika kwenye tumbo au kinaishia kwenye Utumbo tu??
Asee me nikila icho nahisi ntaongeza njaa tu.Kinaishia juu juu ila ndo nimeshajizoesha.
Kwa mwanaume kwakweli hapana....Asee me nikila icho nahisi ntaongeza njaa tu.
We Mwanamke wazazi wako walifanya kazi kubwa sana. Unaimudu vizuri familia yako, Mungu akubariki sana na akuzidishie baraka.